Paloma JF-Expert Member Joined Jan 22, 2008 Posts 5,331 Reaction score 4,956 Apr 14, 2014 #21 Kipaji Halisi said: Uko bibie... Click to expand... nipo! how's the Champion?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,902 Reaction score 55,888 Apr 14, 2014 #22 Paloma said: umeniita mtoto.............naitika.......... Click to expand... umeadimika sana, kaka yangu na wajomba zangu hawajambo?
Paloma said: umeniita mtoto.............naitika.......... Click to expand... umeadimika sana, kaka yangu na wajomba zangu hawajambo?
Paloma JF-Expert Member Joined Jan 22, 2008 Posts 5,331 Reaction score 4,956 Apr 14, 2014 #23 Mtoto halali na hela said: umeadimika sana, kaka yangu na wajomba zangu hawajambo? Click to expand... nipo mwaya.....jua lilikuwa kali saaana sasa mradi mvua zimerudi namie nimerudi! wote wazima bukheri kabisa hofu kwako
Mtoto halali na hela said: umeadimika sana, kaka yangu na wajomba zangu hawajambo? Click to expand... nipo mwaya.....jua lilikuwa kali saaana sasa mradi mvua zimerudi namie nimerudi! wote wazima bukheri kabisa hofu kwako
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,902 Reaction score 55,888 Apr 14, 2014 #24 Paloma said: nipo mwaya.....jua lilikuwa kali saaana sasa mradi mvua zimerudi namie nimerudi! wote wazima bukheri kabisa hofu kwako Click to expand... nafrah kusikia hayo, mi mzima pia
Paloma said: nipo mwaya.....jua lilikuwa kali saaana sasa mradi mvua zimerudi namie nimerudi! wote wazima bukheri kabisa hofu kwako Click to expand... nafrah kusikia hayo, mi mzima pia
Uso wa nyoka JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 4,791 Reaction score 2,381 Apr 15, 2014 #25 Ladymasa said: Umeonaee!! Click to expand... Ndio hivyo, we chunguza tu!