Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Ma
Mmmh! Baba yake ni Kamanda wa polisi (M) Mara huko,ina maana hawana uwezo wa kuwa na hela ya kula.Huyu dogo kuna kipindi walimletea zengwe wakati alipokuwa ameanza kuteka Waumini wa madhehebu mengine.Sehemu alizokuwa anakodi kwa ajili ya ibada walipigwa pini ili asiweze kufanya misa.Ndiyo maana sasa hivi anaendelea na ujenzi wa kanisa lake.
Makamanda wangapi njaa tu........ mpaka wakistaafu ndio wanaonekana ...........huyu ni mtu wa kawaida tu..........ukipata pesa kwa kuchangiwa wewe ni wa kawaida tu mpaka kiama.......wenye pesa za kutafuta wapo lakini hawajigambi .......mark zurga yuko kimya na ni self bilionea kwenye dolla........laizer wa juzi tu hapa lakin hana hata Tambo sasa huyu kibwetele veeeppeee......mwambie apoe......wajinga ndio walio mpa pesa na umaarufu
 
CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania kama alivyokuwa Mussa kwa wana wa Israeli.

Na uzuri hakuna ombwe,akituko huyo, anaingia yule.

Ikiwapendeza, na huyu mumuchuke(kama naye atakubali kuuza utu wake) ingawa keshaweka wazi kuwa yeye hana njaa, ila mjue bado watakuja wengine mpaka siku mgundue kuwa mnatwanga maji kwenye kinu.

The end justifies the means-hamahama ni siasa zilizofeli, na mwisho wake umethibitisha hivyo.
I wonder if MUNGU ana SHIRKI na VILIVYO VICHAFU 😎 ( MAFISADI YA CCM NA MANAFKI WA CHADEMA )
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Peter Lijualikali apata mpinzani Kilombero naye si mwingine ni Nabii Bilionea Daniel Shilla.

Nabii Shilla ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kilombero kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA).

"Maendeleo hayana chama".


Wimbo wa Sholomwamba akimnadi Nabii Shilla ubunge Kilombero


Akimuonya Lijualikali na Gwajima


Lijuakali anapigwa mchana peupe...

I dont like this dogo ila Lijuakali hatoki salama!

Unafiki kwa unafiki!
 
Chadema haijafa kwa sababu haijajengwa na MTU mmoja kama kada mkongwe wa CCM na mwenyekiti wa CDM Mbowe anavyowadanganya wapambe wake na kuwakatisha watu tamaa kwa kusema kuwa yeye ndiye pekee aliyetumia Juhudi zake kukijenga chama na wengine wote ni wasaliti wanaotaka kuuza Chama. Na eti yeye pekee ndiye kiboko ya Mwenyekiti wa CCM.
Clip yake nimeiona twitter(Darmpya Blog on twitter), imenifurahisha mno na huyu inaonyesha ni muongeaji mzuri sana.Akiingia Bungeni, itakuwa ni shida(watu wataomba muongozo wa kiti mwanzo, mwisho).

Anakwambia: Akili kichwani, pesa mfukoni, Yesu moyoni.

Msikilizeni hapa kwenye hii clip akihojiwa:



Waliojipa kazi ya kuia CHADEMA wamefeli kwa asilimia 100, kwani watia nia ni wengi nchi nzima akiwemo huyu aliewatosa watu wa chama cha kijani akaona aje ajaribu kugombea kupitia CHADEMA,huku akidai yeye hana njaa.

 
Tatizo lenu mmezoea kupokea watu mwishoni...hata kama ni maamluki, wapo waliokijenga chama kwa muda mrefu sana hamtawaona kama wanafaa, ila huyu kaja na mbwembwe nyingi mnamshabikiaaaaaa....kesho akiwahama mtachongaaaaa.......tukiitwagwa mazwazwaaa tunaksirikaaaa.
UnawazungumziaLijualikali na Silinde au Mwambe?
 
UnawazungumziaLijualikali na Silinde au Mwambe?
Mwambe alichukuliwa kipindi Kama hiki.

But wapo waliopigana kilombero imekuwa hivyo

Nashangaa Leo mnamshabikia mgeni huyu.

Atapigwa na wananchi mchana kweupe.

Labda hamwajui wana Kilombero.
 
Bahati mbaya huwezi kukumbatia pesa halafu ukabaki na Yesu, hawa watu wanaonesha jinsi walivyo watafutaji, nawasikitikia sana hao waumini wao, naona msimu wa fursa kwao umewadia.
Mchungaji Rwakatare vipi, au kwakuwa alikuwa sisiemuu
 
...duuuh,

Ukitaka kuuza utumbo usiogope inzi= ukitaka kuingia ufalme wa shetani usiogope dhambi.

Over
Kuwa mbunge nako ni zambi?Rais wa Malawi wa sasa ni mchungaji,kutoka kuwa Askofu wa makanisa ya kipentecoste mpk kua Rais wa nchi.
 
Mwambe alichukuliwa kipindi Kama hiki.

But wapo waliopigana kilombero imekuwa hivyo

Nashangaa Leo mnamshabikia mgeni huyu.

Atapigwa na wananchi mchana kweupe.

Labda hamwajui wana Kilombero.
Lijualikali kajiua mwenyewe, hata CCM wanamwangalia kwa tahadhali.
 
Hata kabla ya kuachana na CDM,Lijuakali alikuwa Katia nia Momba kwa Silinde na si Kilombero.
 
Hii na huu ndio mfano sahihi kabisa wa mihemko

CDM ni kama mwanamke asiye jiamini ambaye anashobokea wanaume na kutamba kuhusu wachumba zake na anapoumizwa anasema na kulaumu upande wa pili

Hamna mnachojiamini nacho mkakiuza, kikakubalika.mmekuwa mkipanda na kudandia majina ya watu mara Lowassa, mara Membe, mara nyalandu, kesho mkisikia labda fulani anachukua form kuchuana na JPM mtahamia wote huko.Mara mnampenda uhuru kenyata, mara odinga, mara rais wa barrick, mara ili mradi mmewekeza kuwapa promo na kushobokea watu.Hii akili haipo CCM iko kwenu wenye inferiority Complex ambao siasa mmegeuza sio hoja na ushindani bali uchungu, gubu na lawama tu

Gwajima alikuwa wenu kabisa nyie CDM kipindi anapambana na Makonda mmesahau? Yuko wapi??? Au yako wapi?

Shillah unamjua? Au unapenda wanaoongea? Huwa mnafanya due diligence nyie?

Sasa wewe right handman wa mbowe una akili hizi, hao wengine wenye hulka na akili za kama wanyama wale wa mbugani lazima wakushangilie

Kesho akiwaumiza, mnakaa kimya kwa sasa you have NOTHING TO SELL OUT

Yaani hata wanawake vichaa wanazaa kwa uzazi wa mpango jamani! Sio kujiachia huku na kushoboka tu huku kesho mnalizwa, mnajazwa mimba, ukikaa wiki unapachikwa tena, unalalamika wanaume wabaya kumbe hauna akili ya kujitambua

CDM ya mwaka 2006 to 2012 haikuwa hii ya kutegemea trending news na individual, you had agenda, you threw it away, you never bothered to ask yourselves who made you to be zombies now a days, mnae na mnamwona, Wanaojitambua wanakimbia mliobaki kufaidika na 8.9b na michango ndio kutwa kucha kurusha post za kujifariji

Kama kweli kabisa kuna wana CCM wanalipwa Lumumba kwa kupost humu, anayewalipa nyie wa chadema anatoa hela ndefu maana mmejizira, mmejitoa ufahamu na mnajisahaulisha kila siku

 
Back
Top Bottom