Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
Hahaha we Jamaa🙄, SI kawa achia familia yake🤒Dah hiyo mihela angetuachia tunaoendelea kupeta
munga ni wachaga wa wapi? Marangu au MachameNadhani Mwaka 2023 ndio tume shuhudia vifo vya watu wengi mashuhuri.
Iwe kwenye michezo, siasa na Sasa kwenye anga ya biashara.
Ambapo siku ya Jana kuli tokea kifo Cha mfanya biashara mashuhuri Charlie Munger.
===
Warren Buffett's trusted confidante Charlie Munger died on Tuesday at age 99, leaving a void at Berkshire Hathaway (BRKa.N)that investors said would be impossible to fill despite the conglomerate's well-established succession plan.
Berkshire said Munger died peacefully at a hospital in California, where he lived. No cause was given. Munger would have turned 100 on Jan. 1.
"Berkshire Hathaway could not have been built to its present status without Charlie's inspiration, wisdom and participation," Buffett, Berkshire's 93-year-old chairman and chief executive, said in a statement.
View attachment 2828527
90+9 = 99 "Karne kasoro mwaka mmoja tu" Watu wamekula maisha mno mbali na miaka mingi waliyojaliwa kuishi duniani.Amefariki akiwa na miaka 90.
Good for him.
Mwenyenzi amrehemu.
Ni miaka 99 mzeeAmefariki akiwa na miaka 90.
Good for him.
Mwenyenzi amrehemu.
Bro uko serieous🙄🙄, munger hiyo mzee.munga ni wachaga wa wapi? Marangu au Machame
One among the true business moguls.apumzike kwa amani
Ni mchaga wa kijenge juu!munga ni wachaga wa wapi? Marangu au Machame
Na bado alikuwa anapiga kazi hadi jana, kuna watu wamejaliwa aise! Hivi ipo huku kwetu au ni huko majuu kwa wenzetu tu?!Ni miaka 99 mzee
I don't know man 🤒Na bado alikuwa anapiga kazi hadi jana, kuna watu wamejaliwa aise! Hivi ipo huku kwetu au ni huko majuu kwa wenzetu tu?!
Naona Ume msaidia atakavyo🤒😁Ni mchaga wa kijenge juu!
Mkuu the universe is connected right now, au uli penda aondoke Nani??Mekuja mbio nkajua mbongo kumbe sio .... ndukii
RIP bilionnaire .....
Hakuwa chawa, ni ma patner mzee.Yan chawa Waren Buffet anautajiri kuzid mtu yeyote wa Africa Mashariki aisee wazungu nimewanyooshea mikono…