Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,657
- 218,145
Slaven Bilic has been sacked by West Ham after leading the side to only 2 wins in 11 Premier League matches.
Source - BBC SPORTS
Source - BBC SPORTS
ni kweli bora aende ligi ya uingereza imeshindaSlaven Bilic has been sacked by West Ham after leading the side to only 2 wins in 11 Premier League matches.
Source - BBC SPORTS
Ndio hivyo tena mkuu , amevuna alichopandani kweli bora aende ligi ya uingereza imeshinda
ila inasikitisha binafsi nilikuwa nampenda sana toka nilimuona mara ya kwanza akiwa akiifundisha croatia
ligi mwaka huu ni ngumu mnoNdio hivyo tena mkuu , amevuna alichopanda
Bado hiki kibabu kinachotudhailisha kila siku mawengeSlaven Bilic has been sacked by West Ham after leading the side to only 2 wins in 11 Premier League matches.
Source - BBC SPORTS
Nitafanya sherehe kubwa sana Wenger akitimuliwa Arsenal , yule mzee anadhalilisha ulaya nzima .Bado hiki kibabu kinachotudhailisha kila siku mawenge
aisee ni kweli nae bora aende wamemvumilia sanaBado hiki kibabu kinachotudhailisha kila siku mawenge
kile kizee kina roho ya paka ila naona huu mwaka mgumu top 4 haipatiNitafanya sherehe kubwa sana Wenger akitimuliwa Arsenal , yule mzee anadhalilisha ulaya nzima .
Ila west ham wasithubutu kumpa timu kocha mbovu David MoyesJamaa alianza kwa kasi sana pale westham.. ikawa inaogopeka... ila sasa hivi ndo bas tena
hivi yupo timu gani kwa sasa moyes?Ila west ham wasithubutu kumpa timu kocha mbovu David Moyes
Hana timu yupo tu maskani anaganga njaa kuna uwezekano mkubwa akapewa shavu West Hamhivi yupo timu gani kwa sasa moyes?
naona bora wampe ukocha harry redknapHana timu yupo tu maskani anaganga njaa kuna uwezekano mkubwa akapewa shavu West Ham
Wewe unachangia tshs ngapi? Mpaka unadhalilishwa ile timu ya wazungu wewe roho inakuuma! Anzisha yakoBado hiki kibabu kinachotudhailisha kila siku mawenge
yule babu umri ushamtupa mkono aendelee na uchambuzi tu.naona bora wampe ukocha harry redknap