Hueleweki mkuu, inamaana kuna watu wapo immuned kulipa kodi??
Mkuu umeleta taarifa au malalamiko?
No wonder jana uzi wako uliondolewa...... kwa uandishi huu hakuna mods wanaweza vumilia, get time to proof read ur threads bro......Jana Kuna post niliweka nikasema Bilcanas inaondolewa..akaja member mmoja akasema ni Ofisi za Gazeti la Tanzania Daima..nitakwambia labda hakusikiliza Mpaka mwisho wale Wakaka wa NHC wa kuondoa Mali kwenye majengo ya Watu wanaowadai walidai anadai wa kote Na ni zaidi ya Milioni 1 Na wakitoka Hapo wanapenda Na huko.Sasa mnaofatilia issue hii ulizieni Vyombo vinatolewa Na Bilcanas.Nimerudia kuandika Baada ya ule Uzi kuondolewa ikionekana nimeongopa.Na pia Sikuandika kwa Hisia Bali why Mbowe kwa kasi hii Na kwa wakati huu..Ivi Shirika kama NHC Mpaka izo MHL zifikishe 1B walikuwa wapiii..Na mbona Hata Kuna majengo ya Watu wa Kijana wanadai wa zaidi Na Hata majengo waliokodisha serikali ni wadaiwa sugu tena zaidi ya hayo..Na wamekiri wao wenyewe kwamba wapo wengi Na serikalini ila tunaanza Na Mbowe..kama wao ni wazalendo kwa nini wasionyeshe Mfano wa Majengo waliokodisha serikali yanayodaiwa zaidi ili tuone Utendaji wao mzuri???
Mbowe ni tajiriMaskini mbowe.
Hii nimeipenda sana kyomaDawa ya deni ni kulipa.
Mbowe tulipe tusepe.
Hii inaitwa kupatwa kwa Mbowe..