expirience man
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 220
- 115
Mimi namuelewa mzee MOHAMEDI SAID lkn hebu sasa eleza usahihi wa kile unachokijua wewe, Mzee wangu Mohamedi yeye hicho unchotaka akiseme hakijui eleza wewe hiyo historia itakayoutenga uislm ma harakati za uhuru. Historia yetu inayowaficha wapigania uhuru ingewaficha wote basi na sio hao akina waikela peke yao. Na kama waliofichwa na watu wanaolekea kuwa na mlengo mmoja tu wakiitikadi basi tuseme huyo mgen alikuwa na ajenda yake ya dini na ndicho kinchopelekea kuleta huo mkanganyiko.Bwana Mohamed Said "upuuzi" hapa halikuwa tusi ni kinyume cha hoja yenye mantiki ile isiyo na maana ndio upuuzi sio tusi kamwe!! We ndugu yangu nilichosema mimi sio kuwa hatupendi au hatuwaenzi wapigania uhuru wetu la hasha!! Tena ifike mahali wapewe hadhi ya manabii wetu lakini katika context ya Utaifa na sio udini au ukabila Kaka!! Waikela kama yeye ni shujaa wa kumtoa mkoloni kwangu na naamini kwa Watanzania wengi ni mtu muhimu sana bila kujali dini yake au kabila lake. Hapo pia, haitegemei kutembelewa kwake na "mwanasiasa kijana aliye mashuhuri - Zitto Kabwe". Historia yetu imeandikwa na wageni sisi ndio sasa tunaamka kama anavyotaka kuamka rafiki yangu Paskali. Kama hao mashujaa hawakuthaminiwa au hawakutanjwa kwenye historia basi isiwe kuwa tuone ni kwa ajili ya dini zao bali tu kwa ajili ya kile walichokuwa wanakipigania ambacho mgeni alieandika historia hakukipenda. Wewe kama kijana wa sasa rekebisha ukisisitiza Utaifa na sio udini.
Kokola,Bwana Mohamed Said "upuuzi" hapa halikuwa tusi ni kinyume cha hoja yenye mantiki ile isiyo na maana ndio upuuzi sio tusi kamwe!! We ndugu yangu nilichosema mimi sio kuwa hatupendi au hatuwaenzi wapigania uhuru wetu la hasha!! Tena ifike mahali wapewe hadhi ya manabii wetu lakini katika context ya Utaifa na sio udini au ukabila Kaka!! Waikela kama yeye ni shujaa wa kumtoa mkoloni kwangu na naamini kwa Watanzania wengi ni mtu muhimu sana bila kujali dini yake au kabila lake. Hapo pia, haitegemei kutembelewa kwake na "mwanasiasa kijana aliye mashuhuri - Zitto Kabwe". Historia yetu imeandikwa na wageni sisi ndio sasa tunaamka kama anavyotaka kuamka rafiki yangu Paskali. Kama hao mashujaa hawakuthaminiwa au hawakutanjwa kwenye historia basi isiwe kuwa tuone ni kwa ajili ya dini zao bali tu kwa ajili ya kile walichokuwa wanakipigania ambacho mgeni alieandika historia hakukipenda. Wewe kama kijana wa sasa rekebisha ukisisitiza Utaifa na sio udini.
Ndugu Expirience man nachotaka kusema nishasema labda hujakielewa hilo moja, pili kama hao wageni walikuwa na ajenda ya kidini je sisi katika kurekebisha makosa yao ndio tuegemee kwenye ajenda ya udini pia..? Hekima hiyo unavyoona wewe!!! Na haswa ukizingatia udini huo unachangia kutugawa na hivyo kutudhoofisha..?!!Mimi namuelewa mzee MOHAMEDI SAID lkn hebu sasa eleza usahihi wa kile unachokijua wewe, Mzee wangu Mohamedi yeye hicho unchotaka akiseme hakijui eleza wewe hiyo historia itakayoutenga uislm ma harakati za uhuru. Historia yetu inayowaficha wapigania uhuru ingewaficha wote basi na sio hao akina waikela peke yao. Na kama waliofichwa na watu wanaolekea kuwa na mlengo mmoja tu wakiitikadi basi tuseme huyo mgen alikuwa na ajenda yake ya dini na ndicho kinchopelekea kuleta huo mkanganyiko.
Mkuu, Heshima kwako. Kikawaida Historia inapogusa mambo ambayo wengi hatuyapendi huwa inaleta ukakasi hata katika kuisoma. Yupo soko la mitumba Manzese mwanae Mzee Waikela anaitwa Ramadhani Waikela Pasco anaweza kumtafuta atapata anayoyataka maana Mzee Waikela hakuwa na khofu kuusimulia ukweli kwa yeyote maisha yake yote.Paskali rudia kunisoma ili uelewe nilichoandika. Hakuna mahali niliposema Rashid Kheri Bagdelleh alimtia kizuizini Bilal Waikela. Waikela pamoja na babu yangu na Sheikh Jumanne Bias waliwekwa kizuizini chini ya Dentation Act ya 1962. Nikuongeze kitu. Bagdelleh alikuwa rafiki ya baba yangu na akija nyumbani kwetu.
Mkuu udini Tanzania haukwepeki kama Kompyuta zilivyokosea katika kufelisha waislamu!! Mkuu Ukabila pia haukwepeki kama bado tunabaguana kwa makabila "hawa wa kaskazini hawafai kuongoza... hawa vibalagashia hawakusoma nk!!"Ndugu Expirience man nachotaka kusema nishasema labda hujakielewa hilo moja, pili kama hao wageni walikuwa na ajenda ya kidini je sisi katika kurekebisha makosa yao ndio tuegemee kwenye ajenda ya udini pia..? Hekima hiyo unavyoona wewe!!! Na haswa ukizingatia udini huo unachangia kutugawa na hivyo kutudhoofisha..?!!
unakwepaje historia ya uislam ktk uhuru wakat hata hao wapigania uhuru mwanzo walikutana kwenye hizo taasisi za dini na kuanzia harakati huko hapa ipo taasisi kama JAMIIATUL ISLAMIYA FI TANGANYIKA. Najua historia ikiongea mambo usoyapenda utapinga tu lkn ndo inabaki kuwa historia tu. Hata mtu akikambia baba yako mzazi aliyekuzaa alikua mlevi hutopenda kusikia historia hiyo. hebu mfuate bilalal waikera anaijua historia kuliko wewe ulioyosoma ya magogoni ya kuinjinia hiyo!!Ndugu Expirience man nachotaka kusema nishasema labda hujakielewa hilo moja, pili kama hao wageni walikuwa na ajenda ya kidini je sisi katika kurekebisha makosa yao ndio tuegemee kwenye ajenda ya udini pia..? Hekima hiyo unavyoona wewe!!! Na haswa ukizingatia udini huo unachangia kutugawa na hivyo kutudhoofisha..?!!
unakwepaje historia ya uislam ktk uhuru wakat hata hao wapigania uhuru mwanzo walikutana kwenye hizo taasisi za dini na kuanzia harakati huko hapa ipo taasisi kama JAMIIATUL ISLAMIYA FI TANGANYIKA. Najua historia ikiongea mambo usoyapenda utapinga tu lkn ndo inabaki kuwa historia tu. Hata mtu akikambia baba yako mzazi aliyekuzaa alikua mlevi hutopenda kusikia historia hiyo. hebu mfuate bilalal waikera anaijua historia kuliko wewe ulioyosoma ya magogoni ya kuinjinia hiyo!!
Hili suala naona watu mnalipeleka kwenye udini.kwani kama waislamu walishiriki kupigania Uhuru wetu,je kulikuwa na makubaliano waliyowekeana kwamba baada ya Uhuru waislamu wapewe upendeleo na nchi hii iwe na sheria za kiislamu?Asalaam aleikum maalim.
Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa makala na maandiko yako mengine.Hongera sana kwa kuutangaza na kuutetea umma was kiislamu ingawa historia "ya pili" imekuwa ni kikwazo katika hili.
Naamini Allah (s.w) ataendelea kukuongoza udumu katika kheri.Inshaallah.
Pamoja na hayo, natamani kupata nakala(hata soft copy) za maandiko yako.
Tena dini zenyewe bora hata zingekuwa zetu kweli.Bwana Mohamed Said "upuuzi" hapa halikuwa tusi ni kinyume cha hoja yenye mantiki ile isiyo na maana ndio upuuzi sio tusi kamwe!! We ndugu yangu nilichosema mimi sio kuwa hatupendi au hatuwaenzi wapigania uhuru wetu la hasha!! Tena ifike mahali wapewe hadhi ya manabii wetu lakini katika context ya Utaifa na sio udini au ukabila Kaka!! Waikela kama yeye ni shujaa wa kumtoa mkoloni kwangu na naamini kwa Watanzania wengi ni mtu muhimu sana bila kujali dini yake au kabila lake. Hapo pia, haitegemei kutembelewa kwake na "mwanasiasa kijana aliye mashuhuri - Zitto Kabwe". Historia yetu imeandikwa na wageni sisi ndio sasa tunaamka kama anavyotaka kuamka rafiki yangu Paskali. Kama hao mashujaa hawakuthaminiwa au hawakutanjwa kwenye historia basi isiwe kuwa tuone ni kwa ajili ya dini zao bali tu kwa ajili ya kile walichokuwa wanakipigania ambacho mgeni alieandika historia hakukipenda. Wewe kama kijana wa sasa rekebisha ukisisitiza Utaifa na sio udini.
Experience...unakwepaje historia ya uislam ktk uhuru wakat hata hao wapigania uhuru mwanzo walikutana kwenye hizo taasisi za dini na kuanzia harakati huko hapa ipo taasisi kama JAMIIATUL ISLAMIYA FI TANGANYIKA. Najua historia ikiongea mambo usoyapenda utapinga tu lkn ndo inabaki kuwa historia tu. Hata mtu akikambia baba yako mzazi aliyekuzaa alikua mlevi hutopenda kusikia historia hiyo. hebu mfuate bilalal waikera anaijua historia kuliko wewe ulioyosoma ya magogoni ya kuinjinia hiyo!!
Tena dini zenyewe bora hata zingekuwa zetu kweli.
Zote za kuletewa na meli.
Zote zina mambo tofauti sana na tamaduni zetu.
Na tumezibugia kama mtu mwenye njaa kwenye dhifa.[/QUOTE
Al Watan,
Mimi sijaandika habari za dini ya Kiislam nimeandika historia ya Waikela.
Sijui hizi habari za dini na ''kuletwa na meli,'' zinaingiaje hapa.
Ukweli haudhoofishi bali utatufanya tuwe imara zaidi kama Marekani pamoja historia ya utumwa, bado weupe na weusi wanajenga nchi yaoNdugu Expirience man nachotaka kusema nishasema labda hujakielewa hilo moja, pili kama hao wageni walikuwa na ajenda ya kidini je sisi katika kurekebisha makosa yao ndio tuegemee kwenye ajenda ya udini pia..? Hekima hiyo unavyoona wewe!!! Na haswa ukizingatia udini huo unachangia kutugawa na hivyo kutudhoofisha..?!!
Tunene,Hili suala naona watu mnalipeleka kwenye udini.kwani kama waislamu walishiriki kupigania Uhuru wetu,je kulikuwa na makubaliano waliyowekeana kwamba baada ya Uhuru waislamu wapewe upendeleo na nchi hii iwe na sheria za kiislamu?
Kama hakukuwa na makubaliano lawama za waislamu zinatoka wapi.tukumbuke pia harakati za Uhuru sio kweli kwamba wakristo hawakushiriki kabisa walishiriki mfano ni Mwl Nyerere.
Wakati tunapata Uhuru kanisa la wasabato Tanzania ndilo lililokuwa na mashule mengi kuliko makanisa yote hapa Tanzania wakati huu.
Serkali chini ya mwalimu Nyerere ikazitaifisha shule zote za kanisa LA wasabato na kuzifanya za serkali.mbona wasabato hawalalamiki kwamba wanaonewa na serkali. Ebu tuweke utaifa Mbele tuache udini
Nimejikuta roho imeniuma sana kusoma ukurasa huu sijui kwann, dah mungu unusuru uisilam na watu madhalimuPascal,
Ni vigumu kueleza historia ya Mzee Waikela katika mahali kama hapa JF
kwa ajili ya nafasi.
Kwani historia yake inaanza 1955 wakati wa kuunda TANU Tabora hadi
kufika kupatikana kwa uhuru mwaka wa 1961 yeye akiwa mshiriki mkuu
katika historia yenyewe ya kwanza kuundaTANU na kushiriki katika matukio
makubwa ya wakati ule kama Kura Tatu ya 1958 yeye akiwa kijana.
Mzee Waikela wakati ule alikuwa pia ni kiongozi wa EAMWS akiwa katibu
wa Western Province na mfuasi wa Mufti wa Tanganyika, Sheikh Hassan
bin Amir.
Nilipokwenda kuonana na Mzee Waikela, hakuwa peke yake aliwaita wazalendo
wenzake, Abdallah Kassongo, Mohamed Mangiringiri na Ramadhani
Singo.
Sijapatapo kukutana wana TANU waliokuwa wanaijua historia ya chama chao na
wakaieleza kwa utulivu na ufasaha kama watu hawa.
Baada ya hahojiano haya Mzee Waikela akanita pembeni mimi na walionisindikiza
kwake, marehemu Sheikh Ilunga Hassan Kapungu na shemeji yake Salum
Mkangwa.
Mzee Waikela alituambia turejee kesho atueleze yale yaliyotokea baada ya uhuru
kupatikana mwaka wa 1961.
Nilirejea na wenyeji wangu siku ya pili na Mzee Waikela alifunguka.
Alizungumza kwa takriban saa tatu sote tukiwa kimya tukimsikiliza.
''Mohamed mimi niliwekwa kizuizini jela ya Uyui mwaka wa 1964 na babu yako, Mkuu
wa Jela akiwa Bwana Munthali na Regional Commissioner akiwa Rashid Kheri
Bagdelleh, ilikuwa mwezi wa Ramadhani na walinifuata usiku kunikamata na ndiyo
kwanza nilikuwa naanza kula daku....''
Mazungumzo yale na Mzee Waikela ndiyo yaliyotengeneza sehemu ya tatu katika
kitabu cha Abdul Sykes na sehemu hiyo nikaipa jina, ''Njama Dhidi ya Uislam (1961 -
1970).
Tulipomaliza mahojiano nilimwambia Mzee Waikela, ''Mzee Waikela umenieleza habari
nzito sana na za kutisha mimi nataka unifahamishe ikiwa unanipa ruhusa ya kukutaja
wewe kwa jina kuwa hizi taarifa chanzo chake ni wewe.''
''Nitaje bila hofu waeleze kuwa hizi habari nimekupa mimi Bilal Rehani Waikela.''
Tulipokuwa tunaagana, Mzee Waikela alinyanyua mikono juu akaniombea dua ndefu
sana na akaniambia, ''Mohamed kitabu kitoke Waislam waujue ukweli wa historia yao
kisiishie katika makaratasi.''
Al Watan,
Mimi sijaandika habari za dini ya Kiislam nimeandika historia ya Waikela.
Sijui hizi habari za dini na ''kuletwa na meli,'' zinaingiaje hapa.
Al Watan nimeandika kitabu kizima ambacho kinaitwa, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes the Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika." Umuhimu wake ni kuwa walijitolea kupambana na ukoloni.Hujaandika kwa msisitizo wa habari za Waislamu?
Kwa nini uislamu uwe muhimu sana?
Kwa watu wanaotaka kujenga umoja wa kitaifa, kuanza kuwagawa Watanganyika kwa mafungu ya kidini ni kuharibu umoja wa kitaifa.Al Watan nimeandika kitabu kizima ambacho kinaitwa, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes the Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika." Umuhimu wake ni kuwa walijitolea kupambana na ukoloni.