Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,896
Tufikirie hawa viongozi waandamizi katika serikali ya sasa nini wamefanya kwa taifa hili, matukio yaliyojitokeza hakuna cha ziada ila kuhamasisha ulevi kama huu Mkamu wa Rais Bilari na Waziri Mkuu pinda si kuhamasisha tu bali kushiriki unywaji badala ya kuhamasisha watu kufanya shughuli za maendeleo.
Upinzani wanapowanyoshea kidole ili kuwarudi wajisahihishe wanahasisha vyombo vya ulinzi na usalama wa raia wapigwe tu huku wakinywa pombe hivi. Hawa watalifikisha wapi taifa wakipewa dhamani ya kuendelea kuongoza nchi hii?