Bila Yanga kucheza final CAFCCL, Simba asingefika huko

Haijawahi kutokea kwenye CAFCC na si mashindano ya CAF maana Simba kacheza fainali CAF Cup na si CAFCC na hii wameweka kwenye website yao rasmi ila wewe hujui jinsi ya kuungia na simu yako ya Teckno
 
Hizo ni kauli za kujifariji tu.
  • Simba imecheza mwaka 1993 kipindi inaitwa CAF Cup. Yanga alikuwa wapi?
  • Simba amecheza Shirikisho na kuishia robo mara nyingi zaidi kuliko Yanga
  • Simba amecheza Champion League na kufika robo mara nyingi kuliko Yanga
  • Simba imecheza AFL (Africa Footbal League) a.k.a Super Cup ambapo Yanga hajacheza hata mechi moja
  • Kwenye mechi za kimataifa za CAF, Simba amemzidi Yanga mbali sana kiubora.
Sasa hivi mnasema kombe la wanawake, tena mnalizungumzia na kumbuka mlitengenezea na documenyary
 
Watoto wa 2000 hamjui kuwa Simba ni timu ya kwanza Tanzania kucheza fainali mashindano ya CAF.Hawa hapa CAF wenyewe kwenye website yao rasmi wanawaumbua
Ni sawa. 1993 kipindi Simba anacheza fainali. Yanga ilikuwa wapi?
Simba amecheza mashindano ambayo Yanga hawezi kucheza
 
Mashabiki wa yanaga mnafanya nisipende mpira kabisa kudadadeki zenu
 
Kuhusu shirikisho kuitwa kombe la wamama ...ni yule kiongozi wenu alilopoka[emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
simba imewafundisha yanga kufika hatua yamakundi klabu bingwa lakini yanga wameshindwa kwenda robo fainali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…