Kwa mantiki yako tuungane na Burundi wasiuuwane?
Vipi Rwanda mbona Kuna amani,Zanzibar wanaweza kukaa kwa amani demokrasia ikiachiwa huru
Huo ni UKABURU na mara zote huwa una MWISHO. Makaburu wa SA walikuwa na nguvu sana ukilinganisha na Serikali ya Muungano wa Tanzania, lakini ilifika mahali nguvu ya wenye haki ikatawala. Kinachosumbua Zanzibar ni UBAGUZI unaofanywa na kundi dogo lenye kudhani wataongoza milele!Barbarosa said:...Hivyo acheni kukaririshwa na Wazungu sijui upuuzi wa demokrasia, hakuna kitu kama hicho Dunia hii, mwenye nguvu ndiyo anaamua na swala la Zanzibar Serikali ya Muungano ndiyo ina nguvu na ndiyo inapaswa ihakikishe Unguja na Pemba inabakia intact!
Barbarosa unachekesha kweli. Mvutano wote huu unaotokea ni kwasababu ya Muungano. Kama usingelikuwepo Muungano basi Zanzibar ingelikuwa salama na ingelikuwa mbali leo. Mbona huko nyuma tukiishi salama? Kutofahamiana kumeanza ulivyokuja huu Muungano tu!
!
....lkn pia, dunia, afrika na tanzania haiwezi fanya kosa kumwachia fidhuli wa haki uhuru na hadhi ya mtu mweusi atawale sbb ya demokrasia...Adolf Hitler na NAZI yake waliingia madarakani kidemokrasi pia...Rwanda kuna amani amekwambia nani? Rwanda kuna utulivu tu kwa sasa, lkn uwezekano wa kulipuka muda wowote ule upo, lkn Rwanda na Burundi hazituhusu ila Unguja na Pemba zinatuhusu ni ndugu zetu wa Damu wakazi wengi wa Unguja na Pemba ni Wahamiaji ktk Tabora, Kigoma, Kilwa, Lindi, Tanga, Bagamoyo n.k hivyo usalama wao unatuhusu moja kwa moja!
Acheni kulishwa maneno Wazungu tangu wamewafundisha neno demokrasia basi mnafikiri ni suluhisho la kila kitu wkt Wazungu wenyewe hao hao wanaweka limit ya hiyo hiyo demokrasia kwa mfano Mohamed Morsi ambaye Chama chake cha Muslim Brotherhood kilishinda Uchaguzi wa Kidemokrasia huko Misri na kuondoa utawala ya Kijeshi lkn Wazungu hawakumpenda Mohamedi Mursi na Chama chake ingawaje alichaguliwa kidemokrasia na kilichotokea Jeshi la Misri chini uangalizi wa Marekani, NATO na Israel wakampindua na leo hii yuko jela anasubiri go ahead ya Obama ili anyongwe, sasa kosa lake ni lipi Mohamed Mursi mpaka ahukumiwe kunyongwa wakati alishinda kwenye uchaguzi?
Mbona Umoja wa Matifa uko kimya? mbona ICC haiendi kukamata Wanajeshi waliompindua? Mbona Wazungu wenu hawajawawekea vikwazo vya Kiuchumi Jeshi lililopindua nchi kwanza ndiyo wanawaongezea misaada?
Hivyo acheni kukaririshwa na Wazungu sijui upuuzi wa demokrasia, hakuna kitu kama hicho Dunia hii, mwenye nguvu ndiyo anaamua na swala la Zanzibar Serikali ya Muungano ndiyo ina nguvu na ndiyo inapaswa ihakikishe Unguja na Pemba inabakia intact!
...lkn kama muungano ni jambo baya na umewakwamisha, mbona bado nyie(Zanzibar), mko vizuri zaidi kwa hali zote kuwazidi Comoro ambao wako jirani na ufaransa(mayotte). ...comoro, wamepungukiwa nini kinachowafanya wazidiwe na Tanzania visiwani ?wamepungukiwa amani na utulivu? Mapungufu kiimani? Wamezidiwa (wacomoro)Unafiki na uzandiki wa viongozi wa kisiasa, na baadhi ya wanazuoni wao wanaoutumia uislam kwa maslahi ya kisiasa, au wamezidiwa na upuuzi wa harkati za kinasaba dhidi ya "uafrika wa kibara"....mbona wako nyuma sana na wakiwa hawajaungana na yeyote?Barbarosa unachekesha kweli. Mvutano wote huu unaotokea ni kwasababu ya Muungano. Kama usingelikuwepo Muungano basi Zanzibar ingelikuwa salama na ingelikuwa mbali leo. Mbona huko nyuma tukiishi salama? Kutofahamiana kumeanza ulivyokuja huu Muungano tu!
Hujaona wewe ulivyokuwa ukisoma shuleni (primary school) mtoto mwenye kaka anavyomchokoza kila mtu? Yote ni kwasababu anamtegemea kaka na kama kaka hayupo anakuwa na adabu zake.
Hata kama hivyo unavyoeleza wewe ni sawa, sasa tutakutegemeeni nyinyi kwa usalama wetu mpaka lini? Huoni hio ni hali ambayo ni temporary tu?
Wachina wanakuja na 60b Dollars, AfDB na 1.1b! Sisi tubakie kungojea crumbs kutoka kwenu? Yanamwisho haya!
...lkn na fursa za biashara na kimaisha ambazo zimepatikana bara kwa wazanzibar..?..unafahamu kuwa wakenya wengi wenye uwezo wa kufanya biashara, kilimo, na hata kuajiriwa, wanakosa hizo fursa kwa sababu tu, siwatanzania....lkn jamaa wa asili ya zanzibar wanazipata sababu ni watanzania...mbona mna fikra muflis za kudharau kuti kavu mlilokalia ? , , ,mkuu nadhani ungefanya utafiti zaidi.
ungetambua migogoro ya zanzibar inaletwa na nani ?
waliojenga chuki Zanzibar kwamba machotara wa Kipemba ni vibaraka wa Oman ni nani ? hadi kufikia hatua ya kuwapindua..
Ninachoelewa maendeleo ya Zanzibar yamezidi kuporomoka kadiri mambo ya Muungano yalivyoongezwa..
zamani Bara walikua wanaenda Zanzibar kufunga mizigo.
sasahivi hela za utalii zaishia bara,foreign exchange bara,makusanyo ya bandari bara,mabilioni ya Zanzibar yaliyokuwepo EAC bank yamefia bara..
kamgao zanzibar wanakokapata kutoka bara hakilingani na mpunga wanaoupeleka huko.
kweli Tanganyika ndio wanaoshikilia amani ya visiwani..hata
mauwaji ya january 27 2001 kisiwani Pemba,amri ilitoka bara !
asante mkoloni mweusi.
Hayo yote ni mapovu tuu
Rwanda kuna amani amekwambia nani? Rwanda kuna utulivu tu kwa sasa, lkn uwezekano wa kulipuka muda wowote ule upo, lkn Rwanda na Burundi hazituhusu ila Unguja na Pemba zinatuhusu ni ndugu zetu wa Damu wakazi wengi wa Unguja na Pemba ni Wahamiaji ktk Tabora, Kigoma, Kilwa, Lindi, Tanga, Bagamoyo n.k hivyo usalama wao unatuhusu moja kwa moja!
Acheni kulishwa maneno Wazungu tangu wamewafundisha neno demokrasia basi mnafikiri ni suluhisho la kila kitu wkt Wazungu wenyewe hao hao wanaweka limit ya hiyo hiyo demokrasia kwa mfano Mohamed Morsi ambaye Chama chake cha Muslim Brotherhood kilishinda Uchaguzi wa Kidemokrasia huko Misri na kuondoa utawala ya Kijeshi lkn Wazungu hawakumpenda Mohamedi Mursi na Chama chake ingawaje alichaguliwa kidemokrasia na kilichotokea Jeshi la Misri chini uangalizi wa Marekani, NATO na Israel wakampindua na leo hii yuko jela anasubiri go ahead ya Obama ili anyongwe, sasa kosa lake ni lipi Mohamed Mursi mpaka ahukumiwe kunyongwa wakati alishinda kwenye uchaguzi?
Mbona Umoja wa Mataifa uko kimya? mbona ICC haiendi kukamata Wanajeshi waliompindua? Mbona Wazungu wenu hawajawawekea vikwazo vya Kiuchumi Jeshi lililopindua nchi kwanza ndiyo wanawaongezea misaada?
Hivyo acheni kukaririshwa na Wazungu sijui upuuzi wa demokrasia, hakuna kitu kama hicho Dunia hii, mwenye nguvu ndiyo anaamua na swala la Zanzibar Serikali ya Muungano ndiyo ina nguvu na ndiyo inapaswa ihakikishe Unguja na Pemba inabakia intact!
ni kweli mkuu.....lkn na fursa za biashara na kimaisha ambazo zimepatikana bara kwa wazanzibar..?..unafahamu kuwa wakenya wengi wenye uwezo wa kufanya biashara, kilimo, na hata kuajiriwa, wanakosa hizo fursa kwa sababu tu, siwatanzania....lkn jamaa wa asili ya zanzibar wanazipata sababu ni watanzania...mbona mna fikra muflis za kudharau kuti kavu mlilokalia ? , , ,