Bila ya kuwa na roho ngumu kwa wanawake utakufa siku si zako

Pole sana mkuu, na hongera kwa ujasiri huo,
Rafiki angu ashawahi nifata niomba ushauri kama huu kaacha mke kijiji wana watoto wa3 watu wakatia mimba nkamwambia amwache tuu aoe mwingine akabisha kaondoka kwa lengo la kwenda kumdhuru jiran mtia mimba na mke wake,
Kafika anataka kuliazisha mama yake akamweka kikao na kumwambia "kama umetoka ndani ya tumbo langu usijaribu kumfanya chochote mke wako wala aliempa mimba ulitegemea ataishije miaka 2 yote kwani ni roboti? Na hakuna kumfukuza kama humtaki ondoka wewe hapa nyumbani"
Ikabidi awe mpole tuu, sasa hivi mke wake ana mimba ya huyo rafiki yangu maisha yanayoendelea.
Daadeki kumbe bado alikuwa anaishi kwao ndiyo maana akawa mama yake anamuongoza bado
Halafu kwani kusex mpaka apate mimba si angetumia njia za kuzuia mimba na magonjwa ya ngono kwa kuwa kitu usichokijua hakikudhuru .
 
Mwanamke ni mzuri na mtamu kabla ya ndoa, baada ya ndoa na kuzaa, hapo ndipo makeke, na tabia nzuri au mbaya ya mwanamke zinapojitokeza, ukiwa na bahati, umepata ila kama ndio kama wengine wengi, lazima ile kwako tu, tujihadhari wanaume...:(:mad:
Tunatakiwa kuishi na wake zetu kwa akili sana ,mwanamke atabaki kuwa kiumbe dhaifu kuwahi kutokea duniani.
 
Back
Top Bottom