Trojan kwenye Android. Kwa miaka yangu 5 ya kutumia android sijawahi sikia wala kupata trojan, tena mimi ni mzee wa kuinstall application tofauti na playstore, kuroot simu zangu zote tokea enzi za Huawei Ideos za tigo hadi simu yangu ya sasa na kuweka ma custom rom, custom kernel n.k
Hilo Mkuu ni changa la macho unapigwa na hizo software za "anti virus" kama kweli una trojan Njia rahisi ni kureinstall OS nzima tena ni process rahisi sana.