hii ikulu yetu mataifa ya kigeni yanaijua vizur kulko yanavozijua nyeti zao wenyewe!!
mfano CIA alipokuja obama watakua walipekenyua mpk vitanda vya mkwere
Hiyo dunia imepitwa na wakati. Mi nikitaka kujua ikulu pakoje google earth ipo hakuna cha unyeti wowote ule. Ss hapo watakapopewa ruhusa watakuwa wanaonesha mawingu? Kwa hali ya kawaida hata kuingia ikulu lazma upate ruhusa hata kama unataka kwenda kuomba chumvi.
taasisi nyingine za elimu ya juu zimebadili domain name zao za asili kwenda googlemail...nadhani walikuwana fuata muongozo.Hivi ile email ni GOOGLEMAIL.COM? Anwani ya IKULU?
Sijaelewa hiyo taarifa.live coverage ya wapi? Au mimi ndio sielewi??? Incomplete and an ambiguous statement to say the least
ikulu imebinafsishwa kwa magufuli anaanza kuwewesea asubuhi na mapema vyombo vikimsusia kurusha habari zake anadhani TBC itamtosha
Tuacheni ujuha na ushabiki. Ikulu ni sehemu nyeti kwa nchi yoyote. Juzi ITV walikuwa wanazunguka maeneo mbalimbali ndani ya Ikulu wakiwa live kila mtu anaona lazima tuwe wakweli haikuwa sahihi ki usalama wa nchi yoyote. Mimi nakubaliana na hoja kukiwa na tukio lolote vyombo vya habari viombe kibali vipewe mwongozo ni maeneo gani wanaruhusiwa kurusha live. Siyo kila eneo linarushwa live kila mtu anaona. Tusijitoe ufahamu juu ya usalama wa nchi kana kwamba hatuelewi kwamba usalama wa nchi yoyote kitovu chake ni Ikulu