bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,898
- 2,256
Siku chache nilileta blames kuhusu Zero Brainer kutopewa nafasi kwenye michuano ya CHAN, ili tumpe nguvu na promo kulitangaza taifa. Kipindi naanza kumfatilia sikujua kama ni Mbongo, nilijua ni shabiki tu wa Tanzania. Baadaye nikashangaa alipodai ni Mbongo.
Teuzi tunazitoa kwa kujuana na si weledi. Zinatuumiza, matokeo yake ndo haya. Media kupromote watu kwa upendeleo. Nikahoji, Zero Brainer ni kijana maarufu akiutangaza mchezo wa soka duniani. Alishinda tuzo Afrika Kusini, tuzo za TikTok. Kwanini media hazimuoni kabisa, ukiachana na Shafi Dauda?
Time has reach, Zero Brainer kamfunika Diamond followers TikTok. Zero Brainer ana followers 17.6M na Diamond ana 9M tu. Bado tu hakuna anayejali. Sasa katajwa kushika nafasi ya sita Afrika kwa kumiliki follower wengi, ndo kwanza hamshituki.
Sasa anashika namba sita Afrika kwa followers. Kimya. Huo uzalendo wa taifa mnaouonyesha ni vitengo mmeahidiwa au kwa sababu ipi? Nikiona rafiki yangu ni mtu wa siasa sana, ana ndoto kubwa kibiashara, masikini sana, namkwepa. Hao watu kukuua ili atimize lengo siyo kesi kwao.
Fullstop, kwishaaaaaaaaaa.