idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 Sep 9, 2012 #41 Nyuma ya mafanikio ya mwanaume jua kuna mwamke shupavu, hivyo pamoja na mafanikio ya mh.Mbowe ndani ya chadema jua nyuma yake kuna washauri makini.!!
Nyuma ya mafanikio ya mwanaume jua kuna mwamke shupavu, hivyo pamoja na mafanikio ya mh.Mbowe ndani ya chadema jua nyuma yake kuna washauri makini.!!
DALLAI LAMA JF-Expert Member Joined Jan 31, 2012 Posts 8,652 Reaction score 2,642 Sep 9, 2012 #42 Mada yako inalenga uchochezi dhidi yetu..2shawazoea
biz Member Joined Sep 5, 2012 Posts 24 Reaction score 2 Sep 9, 2012 #43 Marire said: Ushauri mzuri..... Click to expand... Ila heading ndiyo haisadifu yaliyomo.vinginevyo amefanya vizuri
Marire said: Ushauri mzuri..... Click to expand... Ila heading ndiyo haisadifu yaliyomo.vinginevyo amefanya vizuri
biz Member Joined Sep 5, 2012 Posts 24 Reaction score 2 Sep 9, 2012 #44 Hata kama una mawazo sahihi lkn ulivyopanga kufikisha mawazo yako si sahihi.jipange
H HByabatto jr Senior Member Joined Dec 23, 2011 Posts 142 Reaction score 13 Sep 9, 2012 #45 Aliyetumwa utamjua tu...!
G Gaudays Member Joined Jun 18, 2011 Posts 64 Reaction score 7 Sep 9, 2012 #46 Ww unaleta mawazo ya kuku tu,ww ni jamíí ya magamba,si wakati wa nani amefanya nini?Ni wakati wa utaifanyia nn cdm kuingia ikulu,mleta mada jipange haina makali hii
Ww unaleta mawazo ya kuku tu,ww ni jamíí ya magamba,si wakati wa nani amefanya nini?Ni wakati wa utaifanyia nn cdm kuingia ikulu,mleta mada jipange haina makali hii