Bila kadi hupandi mabasi ya mwendokasi kuanzia August 1

unaweza kukuta hata huko London hajawah kufika
London kama huna kadi hupandi basi...kama ni mgeni kuna maduka unaweza kupata kadi ya kutumia siku moja tu kwa safari zako. Wakazi wote wana kadi maalum zinajulikana kwa jina la Oyster card...unaweza ku top up kwenye maduka au train station. Madereva hawapokei kabisa pesa hii system iliisha kitambo.
 
Sijawahi kuutumia huu usafiri! Ngoja nitatest nichukue uzoefu
 
Back
Top Bottom