Bila JWTZ Zanzibar isingekalika-Mwinyi

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
13151762_1096037350460722_11228287652029637_n.jpg

Maoni yangu

Vyombo vyetu vya u8linzi na usalama vinafanya kazi kubwa sana ya kuhakikisha kuwa kunakuwa na utulivu na amani. wanasiasa wanapaswa kuviacha vyombo hivi vifanye kazi yake badala ya kuvipa shutum kwa maslahi yao ya kisiasa.
 
Waziri,sijui anajua asemalo eti "hakuna jeshj la Tanganyika lilokwenda Zanzibar"
What a sick joke!
 
Waziri,sijui anajua asemalo eti "hakuna jeshj la Tanganyika lilokwenda Zanzibar"
What a sick joke!
inaonekana wewe vunajua kuliko waziri mhusika haya twambie jeshi gani la Tanganyika lililokwenda Zanzibar kqwa ushaihidi sio kuzusha maneno.

Duniani kote wanajua Tanganyika iloishazikwa baada ya muungano, hakuna nchi inayoitwa Tanganyika tena sasa kutakuwaje na jeshi la Tanganyika?
 
Hivi Tz tunajeshi imara sana kuliko Nigeria au Syria? maana tukianza kufanya mambo ya hovyo kisa Jwtz ipo siku tutakuja juta sana
 
Zanzibar imekalika kwa kuwa wazanzibar waliamua kutunza amani yao. Amani ya Zanzibar haijaletwa na JWTZ, ni wazanzibar wenyewe! Hakuna jeshi duniani linaloweza kupambana na raia wake. Ni Afrika tu ambako viongozi wanaamini katika majeshi badala ya HAKI NA DEMOKRASIA! JWTZ kazi yake na uwezo wake pekee ni kulinda mipaka tu. Si kupambana na watanzania. Yakitokea machafuko hata mishahara watakosa maana kazi zitafungwa na kwa hiyo kodi haitakusanywa. Wakumbuke pia mfumo wa nchi yetu ni kwamba serikali huwa inapanga mipango (mipango hewa) ikiwa haina pesa, inatarajia kukusanya ndipo itekeleze. Tukumbushane pia kwamba jeshi la mwisho Afrika lilikuwa Libya. Lakini amiri jeshi wake mkuu Ghadafi alifia mtaloni mwa maji machafu. Watawala acheni ulimbukeni. Tegemeeni haki na demokrasia na siyo majeshi.
 
Anaacha kushukuru busara za Maalim na EL kutowaambia vijana tafuteni haki yenu anafikiri ni mabavu ndo yameleta amani.
 
inaonekana wewe vunajua kuliko waziri mhusika haya twambie jeshi gani la Tanganyika lililokwenda Zanzibar kqwa ushaihidi sio kuzusha maneno.

Duniani kote wanajua Tanganyika iloishazikwa baada ya muungano, hakuna nchi inayoitwa Tanganyika tena sasa kutakuwaje na jeshi la Tanganyika?
Kuna wanajeshi nchi ya Zanzibar,Wakurya, Wazanaki,Wahehe Wachaga?
Hawa walioenda wanatoka nchi gani?
 
inaonekana wewe vunajua kuliko waziri mhusika haya twambie jeshi gani la Tanganyika lililokwenda Zanzibar kqwa ushaihidi sio kuzusha maneno.

Duniani kote wanajua Tanganyika iloishazikwa baada ya muungano, hakuna nchi inayoitwa Tanganyika tena sasa kutakuwaje na jeshi la Tanganyika?

ebu twende taratibu, kassim majaliwa ni waziri mkuu wa wapi?
 
Back
Top Bottom