Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 978
- 2,879
Nani amekuambia natumia AI , Mimi nina vitabu vya kikristo vya kanisa hata huku Afrika Hao mapadri wenu hawana
Je Yesu alisulubiwa msalabani au alipaishwa na allah?.
Unachekesha sana .
Ila ngoja nisikucheke.
unajua kuwa ushahidi sio lazima kuona. Hata kusikia ni ushahidi.
Hilo najua unalijua. Ila unakaza fuvu kwasababu ushajijengea kubisha.
Ila Ww ni sahihi kubisha. Sio kila binadamu ana akili.
Huyu ndio yule mke wa tatu wa mtume . Ambae mpaka nguo walivaliana.
Na kuhusu sahih bukhar 2.
Nadhan haujaelewa hoja yangu.
Nimesema Kusikia au kuona huo wahyi.
Sasa mtu kajifunika Dera la mke wake na akatulia. Alaf akanyanyuka na kusema nimeshushiwa wahyi.
Hiyo si ata ww unaweza kufanya.
Hoja yako tetezi ijikite kwenye mashuhuda wa kusikia au kuona huo wahyi.
HAKUNA aliyewahi kushuhudia.
Kuhusu Hili.
Hadi Quran yako. aliyeishusha Jibril imeandika.
Pia Huyu ni mtu alishuhudia na kusadiki hili la Mimba ya bikira Mariam.
Kasome Luka 1 : 35 - 49.
Huyu Elizabeth ni shahidi.
Nikutumie vya nini wewe ? Nitakuwekea nondo tu hapa mpaka uamue kusuka au kunyoaSawa. Haya tumia hivyo vitabu ulivyonacho.
Kunijibu swali langu hili.
Ili nikuonyeshe Upi ni Muujiza ulio hai.
Tuje na topic moja moja , usirukie huku mara kule kama nyani mtini au umeanza kuchanganyikiwa kuona yesu hakumfufua mtu?Sawa. Haya tumia hivyo vitabu ulivyonacho.
Kunijibu swali langu hili.
Ili nikuonyeshe Upi ni Muujiza ulio hai.
Usibadilishe hoja yangu. Sijasema kusikia si ushahidi; nimesema kuna tofauti kati ya kusikia sauti na kushuhudia tukio lenyewe.
Matendo 9:7, waliokuwa na Paulo walisikia sauti lakini hawakumwona mtu. Hivyo hawakuwa mashahidi wa kile Paulo alichokiona.
Na kuhusu Elisabeti, Luka 1:39–45 haonyeshi alishuhudia mimba ya Mariamu ikitungwa; alimwona Mariamu akiwa tayari mjamzito na akasema kuhusu mtoto aliyekuwa tumboni.
Mm niruke ruke 😂😂😂😂Tuje na topic moja moja , usirukie huku mara kule kama nyani mtini au umeanza kuchanganyikiwa kuona yesu hakumfufua mtu?
.saa nipe muujiza aliyofanya yesu ni upi ulio Hai mpaka leo,
najua ww ni mbishi.
Sasa ili nikukamate vizuri
Nijibu hili. Na jibu liwe fupi.
Ili nikutajie Muujiza mkubwa ambao uko Hai hadi leo.
Je Yesu alisulubiwa msalabani au alipaishwa na allah?.
Hili la Paulo bila shaka huna hoja tetezi.
Soma mara mbili mbili ulichoandika.
Paragraph ya kwanza haujakana Kusikia kuwa sio Ushahidi. Na ya pili.
Kama kusikia na kuona vyote ni Ushahidi. Basi tufunge huo mjadala.
Paulo aliona na akasikia. Na watu waliokuwa nao hawakuona ule mwanga ila walisikia.
Sahihi. Ila alitambua kuwa Yale aliyoambiwa na Mungu ni sahihi.
Na ni mtu mwingine kabisa huyu.
Hebu turudi kwako.
kwasababu hakuna aliyeona wala kusikia kuhusu Wahyi wa mtume.
basi nionyeshe kwenye Quran
hivi ni Nani alitokewa na Wahyi na akaambiwa kuwa anayosema Mohamed ni sahihi?.
ni nani aliambiwa na allah kuwa Mohamed ni mtume wa allah
Biblia yako umeikimbia?Mm niruke ruke 😂😂😂😂
Au nikurudishe nyuma uone hili limeanzia wap?.
mm nimejibu ulichouliza.
Ngoja nirudie hapa.
Umeuliza
Nikasema hivi
Sasa nimeruka ruka wapi?.
Au ww ndio hautaki kujibu😂😂😂.
Alafu kuhusu Kufufua.
Kwenye hivyo vitabu vyako vingi
Ulivyonavyo kasome
Quran 5:110
Na pale Mwenyezi Mungu atakaposema: 'Ewe Isa mwana wa Maryamu! Kumbuka neema yangu juu yako... na ulipowafufua wafu kwa idhini yangu...'”
Na Quran 3 :49.
"na ninafufua wafu kwa idhini ya Mwenyezi Mungu..."
Au na Hii utapinga?.
Paulo aliona nini? Alisikia nini? Wenzake waliona nini? Walisikia nini? Na kwa nini Matendo 9:7 na 22:9 zinaeleza uzoefu wao kwa namna tofauti?
Matendo 9:7, wale waliokuwa pamoja naye wanaelezwa kuwa walisikia sauti lakini hawakumwona mtu. Lakini katika Matendo 22:9, Paulo anasema wale waliokuwa pamoja naye hawakusikia sauti ya yule aliyekuwa akisema naye.
Ile hoja yako ya Yesu Kufufua watu bado unataka kuendelea nayo?.Biblia yako umeikimbia?
Kasome pia.
Matendo ya Mitume 26 :14
"Sisi sote tulipanguka chini nchi, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya Kiebrania, Sauli, Sauli, mbona unanitesa? Ni vigumu kwako kuupiga mateke michongoma."
turud hapa
Matendo 9:7 neno linaashiria kuwa walisikia kuna sauti ya mtu inayolia au ikiongea (kama mtetemeko wa sauti), lakini hawakuelewa au hawakutambua maneno kamili yaliyosemwa.
Na Katika Matendo 22:9, Paulo anaeleza kiundani zaidi akimaanisha kuwa hawakuisikia kwa kuelewa au hawakutambua ujumbe au maneno yale maalum yaliyoelekezwa kwake yeye binafsi na Yesu.
Matendo 9:7 neno linaashiria kuwa walisikia kuna sauti ya mtu inayolia au ikiongea (kama mtetemeko wa sauti), lakini hawakuelewa au hawakutambua maneno kamili yaliyosemwa.
Na Katika Matendo 22:9, Paulo anaeleza kiundani zaidi akimaanisha kuwa hawakuisikia kwa kuelewa au hawakutambua ujumbe au maneno yale maalum yaliyoelekezwa kwake yeye binafsi na Yesu.
Hiyo topic tutakuja lakini kwa ufupi biblia inakanusha kusulubiwa yesu. Usikimbie hoja hii tunayoendelea nayonami nasubiri jibu, je Yesu alisulubiwa msalabani?
Kasome pia.
Matendo ya Mitume 26 :14
"Sisi sote tulipanguka chini nchi, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya Kiebrania, Sauli, Sauli, mbona unanitesa? Ni vigumu kwako kuupiga mateke michongoma."
turud hapa
Matendo 9:7 neno linaashiria kuwa walisikia kuna sauti ya mtu inayolia au ikiongea (kama mtetemeko wa sauti), lakini hawakuelewa au hawakutambua maneno kamili yaliyosemwa.
Na Katika Matendo 22:9, Paulo anaeleza kiundani zaidi akimaanisha kuwa hawakuisikia kwa kuelewa au hawakutambua ujumbe au maneno yale maalum yaliyoelekezwa kwake yeye binafsi na Yesu.
Kutoka Thesalonike, waumini walimtuma Paulo kwenda Berea (17:10). Baadaye alipelekwa kwa njia ya bahari kwenda Athene (17:14–15).“Walipokuwa wakipita katika miji, waliwapa waumini maagizo yaliyowekwa na mitume na wazee wa Yerusalemu.” — Matendo 16:4
“Angalieni mafanikio yetu! Kwa hiyo lazima tunachosema kiwe kweli!”
Siwez kuacha Ndala.
Pia tukimaliza hili . Uwe mwanaume na kujibu zile mada zangu Mbili za Juu.
Post yako #155 na #157.
Zote kwa pamoja zinajibiwa na haya ya chini.
Katika barua zote alizoandika Paulo (kama vile Warumi, Wakorintho, Wagalatia), hajawahi hata mara moja kujitapa au kutaja kuwa alimwona Yesu akifundisha, akifanya miujiza, au akisulubiwa Yerusalemu. Kama angemwona, ingekuwa hoja ngumu sana kwake kuitumia dhidi ya wapinzani wake waliokuwa wanatilia shaka utume wake.
Na Ingawa alisoma Yerusalemu, inawezekana kabisa kwamba baada ya kumaliza masomo yake ya awali, alirejea nyumbani kwao Tarso (Uturuki ya sasa) au alikuwa akisafiri kwa mambo ya kisheria na kibiashara, na alirejea Yerusalemu baada tu ya Yesu kusulubiwa na kupaa.
mtu aitwe "Mtume" au "Shahidi wa Yesu" katika Kanisa la kwanza, kigezo cha msingi kilikuwa ni kushuhudia kufufuka kwa Yesu. Katika Matendo 1:21-22, mitume walipokuwa anamchagua mbadala wa Yuda Iskariote, kigezo kilikuwa ni mtu aliyefuatana nao tangu ubatizo wa Yohana hadi Yesu alipopaa. Paulo hakukidhi kigezo hiki.
Hata hivyo, Paulo alijitofautisha na kujiita shahidi kwa sababu ya Tukio la Njiani kuelekea Damasko (Matendo 9).
- Katika 1 Wakorintho 9:1, anajitetea akisema: "Mimi si mtume? Je! Kumbe mimi sikumwona Yesu Bwana wetu?"
- Katika 1 Wakorintho 15:8, anapoorodhesha watu waliomwona Yesu baada ya kufufuka, anasema: "Na mwisho wa watu wote alitokea na kwangu mimi, kama kwa mtu aliyezaliwa si kwa wakati wake."
Je Sauli Alikuwa Wapi?
Ushahidi thabiti unaonyesha kuwa wakati Yesu anafundisha na kusulubiwa, Sauli ama alikuwa bado hajarudi Yerusalemu kutoka Tarso, au alikuwa amejifungia akisoma sheria za Kiyahudi na hakujihusisha na harakati za Yesu (ambaye viongozi wengi wa Kiyahudi walimchukulia kama mwalimu wa vijijini kutoka Galilaya asiye na umuhimu mwanzoni).
Alikuja kuwa mstari wa mbele baada ya Kifo cha Yesu.pale ambapo viongozi wa Kiyahudi walipogundua kuwa harakati za "Wafuasi wa Njia" (Wakristo) zinakua kwa kasi sana na zinatishia misingi ya dini yao Yerusalemu.
Kwa hiyo,
Sauli hakuwa shahidi wa maisha ya hapa duniani ya Yesu, bali alikuwa shahidi wa Yesu aliyefufuka kwa Kufunuliwa kwake kwa njia ya Kiroho na Maono.
kama ww unavyoamini Wahyi ambao wakristo hawaamini. Basi na sisi tunamuanini Paulo na utume wake.
Na hakuna kitakachoweza kubadilisha hilo.
Na atleast yeye kulikuwa na mashuhuda. Lakini wahyi wa mtume hakuna hata raia mmoja amehisi kwa kuona au kusikia.
Na hilo pia haliwezi kubadilika.