MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,349
- 13,613
Hao waandishi wa injili walikuja kuandika baada ya yesu kuondoka.Zote
Hivi unaamini wewe umetokana na manii ya baba yako?Hakuna moto Wala Pepo, tuspotezeane muda
Mwandishi ya Adam na Hawa kwenye Quran alikuwepo wakati Adam anaumbwa?Hao waandishi wa injili walikuja kuandika baada ya yesu kuondoka.
alikuwepo ALLAH muumba mbingu na ardhi na aliyemuumba Adam na hawa.akaumba na malaika.miongoni mwa malaika hao ni jibril aliyekuwa ana mshushia aya mitume kutoka Kwa ALLAH MWENYEWE.DIRECT.Mwandishi ya Adam na Hawa kwenye Quran alikuwepo wakati Adam anaumbwa?
Moja ya uongo tunaolishwa kuhusu uislam ni huu wa Quran kuwa inatoka kwa Allah. Ulaghai mtupu.alikuwepo ALLAH muumba mbingu na ardhi na aliyemuumba Adam na hawa.akaumba na malaika.miongoni mwa malaika hao ni jibril aliyekuwa ana mshushia aya mitume kutoka Kwa ALLAH MWENYEWE.DIRECT.
QURAN INA NJIA TATU ZA KUFIKA.
1.INATOKA KWA ALLAH MWENYEWE.
2INAKWENDA KWA MALAIKA JIBRIL
3.ANAPELEKEWA MTUME MUHAMMAD.alafu anawasomea watu.
Aya injili zimetoka wapi?
baba yangu ametokana na manii ya Babu yangu. hilo tunalijua na sio imaniHivi unaamini wewe umetokana na manii ya baba yako?
Imewezekana vipi manii kugeuka mtu?Na
baba yangu ametokana na manii ya Babu yangu. hilo tunalijua na sio imani
Kwa hiyo?
😃😃😃.mtume wetu hakujua kusoma Wala kuandika.alafu mbaya zaidi Quran imeshushwa Kwa lugha ya kiarabu.ikiwa na aya za kutosha.muhammad angeweza vipi kukopi?na kujua mambo ya mtoni na peponi?Moja ya uongo tunaolishwa kuhusu uislam ni huu wa Quran kuwa inatoka kwa Allah. Ulaghai mtupu.
Manii kama manii haiwezi kugeuka kuwa mtu.Imewezekana vipi manii kugeuka mtu?
Tutajie peponi analolijua hata Moja?😃😃😃.mtume wetu hakujua kusoma Wala kuandika.alafu mbaya zaidi Quran imeshushwa Kwa lugha ya kiarabu.ikiwa na aya za kutosha.muhammad angeweza vipi kukopi?na kujua mambo ya mtoni na peponi?
😳😳😳.kumbe mtu anatoka wapiManii kama manii haiwezi kugeuka kuwa mtu.
Tanua ubongo wako kijana
Kuna PEPO na mapepo.Tutajie peponi analolijua hata Moja?
Mbegu ya mwanamume inapokuatana na yao la kike kwenye mji wa mimba, ndio mimba inatungwa.😳😳😳.kumbe mtu anatoka wapi
Hakuna Pepo, kama ipo thibitisha ipo sehemu ganiKuna PEPO na mapepo.
Ya Muhammad ni PEPO sio MAPEPO mashetani
PEPO ipo mbinguni.tukifa tutakwenda kuionaHakuna Pepo, kama ipo thibitisha ipo sehemu gani
Ukifa tunakufukia chini.PEPO ipo mbinguni.tukifa tutakwenda kuiona
acha hizo ngonjera za darasani.Mbegu ya mwanamume inapokuatana na yao la kike kwenye mji wa mimba, ndio mimba inatungwa.
Kama hata hili hujui ndio utelewa maswala ya peponi na motoni wewe kiande?
Kwa hyo Kwa akili zako ukishazikwa ndo basi?Ukifa tunakufukia chini.
Na Wala hatukutupi kule angani.
Leta ushahidi kuhusu hiyo Pepo yako
Kwa hiyo swali lako linaulizwa mfumo wa uzazi ulipotokea?acha hizo ngonjera za darasani.
Mbegu za uzazi za mwanaume na yai la mwanamke pekee.hakusababishi kutoka mtoto.
Nani amefanya huo mfumo mpaka mbegu za uzazi za mwanaume na yai la mwanamke vikikutana anatokea mtoto?