ama kweli nimeamini si kila mwanamke anafaa kuwa mke! Hivi mdada kama huyo alimuokota wapi? Ptuuuu...! By the way mdada kausoma udhaifu wa upeo wa akili ya jamaa,ningekuwa mimi mbona angefurahi ...! Yaani ningemchezea booonge la filamu!, kwanza ningemshampa red card siku nyiiiingi na hivi nilivyojaliwa wepesi wa kumsoma mtu ndo kabisaaa...! Kwanza ile kusalimiana nae tu kwa mara ya kwanza ningeshajua zamani kuwa "huyu chaka...!".Rafikiyo hajajua kuact kama mume bado so namshauri aghairi tu hiyo mipango ya ndoa kabla hajaletewa wanaume wenzie ndani huyo siyo mke aisee,watu wanaoa huku wanamiliki ndoo 1 na jaba ye anataka vitu nje ya uwezo,ptuuuu...!