Hiki ndio nilichokisemaAcha upumbavu wewe vanyboy anakuwaje mpinzani WANGU WA kati Mimi NA yeye tuko ktk kada tofauti na kaishia darasa LA pili tunakuwaje wapinzani? MIMI ni msanii? Diamond angewekwa category km ya vany angeichukua BILA utata KWA jinsi anavyokubalika na fanbase aliyonayo cuz KWA east Africa mond hana mpinzani
Rwankomezi hivi huyu jamaa nikimtukana au kumdharau kwa kumtema mate nitakuwa nimekosea?
.
Nimeuliza swali ni msanii gani yoyote kutoka Tanzania amewahi kubeba tuzo ya BET including Simba ukimuacha Rayvanny majibu yake ndio hayo
Sasa sijui black coffee kawa raia wa Tanzania lini?
Kamtaja Simba kukosa tuzo, hiyo tuzo ya upcoming artist aliyoikosa diamond Eddy Kenzo aliipata miaka miwili au mitatu baadaye nadhani hii haina maana Kenzo ni mkubwa kuliko diamond na haina maana Diamond angewekwa kwenye category sawa na aliyokuwa vanny angechukua!
.
Wapinzani wa Rayvanny wote ni wakali chuki zinakuua taratibu wewe[/QUOTE]
Wananzengo tumeingiliwa huku anasema nimemlinganisha na Rayvanny anasema nimesema yeye na Rayvanny nani mkali
kurlzawa Rwankomezi tupeleke milembe huyu wallah ana shida kichwani.
.
Chuki zinamuua
Ujue chochote sipotezi muda kukuelimisha kama kusoma unajua unashindwaje kutofautisha baki na mahaba yako kama sio mapenzi.Hao waimba Hip Hop Za bongo hawana tofauti na wapiga taarebu tu muda wote kujisifia na kuponda wenzao
Alichoandika van na Hao hip-hop wako Umefatilia hawana tofauti
Uko sahihi kwa asilimia [emoji817].2019 huwa husikilizi nyimbo, unapenda purukushani kama zipe za baba lao. Kati ya waimbaji binao penda kusikiliza nyimbo zao mmoja ni rayvany pamoja na marombosso na asley, napenda uandishi wao na kila mmoja ana ladha yake kwenye uandishi. Baba lao na uno ni purukushani tuu za kitoto
Ungemtaja hata msanii mmoja wa hip-hop ambaye haimbi mipasho Nikuone wewe unaejua vyoteUjue chochote sipotezi muda kukuelimisha kama kusoma unajua unashindwaje kutofautisha baki na mahaba yako kama sio mapenzi.
Mimi sio shabiki wa yeyote kati yao, wala sio shabiki wa aina ya mziki wanaofanya. Ila nadhani humfahamu vizuri Rayvanny
Angalia uandishi wa hao wawili utagundua vany boy ni kichwa. Ni kichwa kizuri tuu. Hata management yao inatambua hilo.
Duuu mzee hujui muziki katika wasanii wanaoimba na wenye sauti nyororo bongo pamoja na uandishi mzuri wa nyimbo namba 1 hadi 3 muweke RAYVAN BOY dogo ni mkali tuache ushabiki.
Uongo na rayvanny akitoka ndio utajua kuwa ideas ni yake.Huyu dogo sijawahi kumwelewa amshukuru sana Diamond ndio anampiga tafu. Kila wimbo kamshirikisha kama hajashirikisha basi ujue ni remix. Namshauri ache kubana pua, sisemi nikiwa na maana kuwa najua kuliko yeye? Hapana mimi ni shabiki nitabaki kuwa shabiki hivyo.
Labda kwa vile wewe ni 2019 si sikushangai sana ulicho andika kimekaa ki2019...bado huyajui mengiHuyu dogo sijawahi kumwelewa amshukuru sana Diamond ndio anampiga tafu. Kila wimbo kamshirikisha kama hajashirikisha basi ujue ni remix. Namshauri ache kubana pua, sisemi nikiwa na maana kuwa najua kuliko yeye? Hapana mimi ni shabiki nitabaki kuwa shabiki hivyo.
PovuAmetunga nn bana!!!... hayo maremix!??? Bora hata ungesema ana kasauti lakini kwenye utunzi ni ujinga tu,hana ubunifu
Zako ulizotunga ziko wapi?