Bil 185 ya Dowans inasomesha wanafunzi 9,250,000 @20,000Tsh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bil 185 ya Dowans inasomesha wanafunzi 9,250,000 @20,000Tsh

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by spencer, Jan 6, 2011.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GeatThinkers,

  Ninaumia sana kwa kuwa mimi ninachoongea ninakijua ni ukweli!

  Mimi siyo Nunda,Sikukwepa Umande nimesoma.

  185,000,000,000 Tsh(Dowans)= 9,250,000 Students
  20,000 Tsh(ada)

  Malaria Sugu na Dar Es salaam amkeni acheni kushabikia ujinga.

  Ni lazima mkumbuke,wapiga kura mwaka huu ni million 8. Kwa hiyo inaweza pia kuhonga watu zaidi mil 9.

  Mnatoka jasho la nini sasa, Mnlipa PAYE kwa ajili ya Rostarm!

  Mnakumbuka kuwa hela za EPA ni zaidi ya 133Bilions

  Ambapo pia ni Mzimu hu u huu wa Kiasia uliokomba 45bilion za Kagoda hata kesi haipo?

  Amkeni wenzangu, Nchi yetu haihitaji kupewa msaada,sisi ni matajiri.

  Mwanza ni wanaume, Pia wanaArusha ni Majasiri kwa nini Dar Es salaam kitovuni mmelala!

  Mnajua Daraja mnlolihangaikia kila siku Kigamboni haliwezi kuzidi Bil 160.

  Lakini napo eti mpaka wawekezaji, Zinatoka wapi za kulipa mafiisadi?

  Mimi nimejitoa bora nife kwa ajili yenu,hata kama mtanibeza kuna kizazi kitanikumbuka.

  Sikubali katu,

  Nilisoma ili nijielewe pia natambua jamii isiyosoma inanitegemea-Siwezi kufanya upumbavu.

  Ujumbe wangu naomba umguse kila Mtanzania anayehangaishwa na Riz'wan kijana aliyenunua nyumba kwa bil 4 hivi majuzi. Ametoa wapi na yeye hana mwajiri.:A S 100:
   
 2. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GreatThinkers,

  Ninaumia sana kwa kuwa mimi ninachoongea ninakijua ni ukweli!

  Mimi siyo Nunda,Sikukwepa Umande nimesoma.

  185,000,000,000 Tsh(Dowans)= 9,250,000 Students
  20,000 Tsh(ada)

  Malaria Sugu na Dar Es salaam amkeni acheni kushabikia ujinga.

  Ni lazima mkumbuke,wapiga kura mwaka huu ni million 8. Kwa hiyo inaweza pia kuhonga watu zaidi mil 9.

  Mnatoka jasho la nini sasa, Mnlipa PAYE kwa ajili ya Rostarm!

  Mnakumbuka kuwa hela za EPA ni zaidi ya 133Bilions

  Ambapo pia ni Mzimu hu u huu wa Kiasia uliokomba 45bilion za Kagoda hata kesi haipo?

  Amkeni wenzangu, Nchi yetu haihitaji kupewa msaada,sisi ni matajiri.

  Mwanza ni wanaume, Pia wanaArusha ni Majasiri kwa nini Dar Es salaam kitovuni mmelala!

  Mnajua Daraja mnlolihangaikia kila siku Kigamboni haliwezi kuzidi Bil 160.

  Lakini napo eti mpaka wawekezaji, Zinatoka wapi za kulipa mafiisadi?

  Mimi nimejitoa bora nife kwa ajili yenu,hata kama mtanibeza kuna kizazi kitanikumbuka.

  Sikubali katu,

  Nilisoma ili nijielewe pia natambua jamii isiyosoma inanitegemea-Siwezi kufanya upumbavu.

  Ujumbe wangu naomba umguse kila Mtanzania anayehangaishwa na Riz'wan kijana aliyenunua nyumba kwa bil 4 hivi majuzi. Ametoa wapi na yeye hana mwajiri. :A S 100:
   
 3. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Asante sana mkuuu. Tukisema lijengwe daraja watasema hakuna bajeti, je za kulipa dowans zitatoka bajeti gani? Amkeni watanzania ni wakati wa kuikomboa nchi yetu. Wanetu watatushukuru siku moja.
   
 4. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Dwans ni ya MH Jakaya Mrisho Kikwete na kuwadi Rostam Aziz.
  Anaye lipwa ni Kikwete
  Wanaofaidika ni Salma na Riz.
   
 5. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Kagalala,

  Nimezaliwa kijijini, nilianza kusomea chini hadi leo kule hakuna lolote.

  Enzi zile hata wazazi wangu walilipa kodi ya kichwa.

  Ninalipishwa kodi kubwa na kumbe wanakula hawa wapuuuzi.

  Bora tupekeshane tuu,
   
 6. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa
   
Loading...