Bikra zipo nyingi sana huku pwani

Bikra zipo nyingi sana huku pwani

Mimi ni mtu wa pwani
Nielekeze ni wilaya gani, tarafa gani, Kijiji gani au kitongoji kipi hicho?
 
Huku Pwani kuna bikra nyingi sana yaani kila ukienda kila nyumba kuna uwezekano wa kukuta na wasichana bikra kila kona yaani wazazi wa pwani wanajitahidi sana kulea watoto wao na ni furaha kubwa sana kwao mtoto kuolewa kuwa bikra aiseee

Na ni ngumu sana kukuta mabikra katika mikoa ya bara yaani watu wa bara wanaona sifa watoto wao kutolewa ubikra mapema sana tofauti na mikoa ta Pwani
Unaezakuta wewe mwenye bikra huna gademiti
 
Huku Pwani kuna bikra nyingi sana yaani kila ukienda kila nyumba kuna uwezekano wa kukuta na wasichana bikra kila kona yaani wazazi wa pwani wanajitahidi sana kulea watoto wao na ni furaha kubwa sana kwao mtoto kuolewa kuwa bikra aiseee

Na ni ngumu sana kukuta mabikra katika mikoa ya bara yaani watu wa bara wanaona sifa watoto wao kutolewa ubikra mapema sana tofauti na mikoa ta Pwani
Chunguza vizuri honi zao hazipigi vizuri (Uwan)
 
Wa umri gani? Hebu support argument yako kwa statistics basi tujiridhishe au ni hisia zako tu?
 
Ila jamani bikira sio kipimo cha utu,sio kipimo cha utajiri,sio kipimo cha tabia njema ..etc etc
 
Huku Pwani kuna bikra nyingi sana yaani kila ukienda kila nyumba kuna uwezekano wa kukuta na wasichana bikra kila kona yaani wazazi wa pwani wanajitahidi sana kulea watoto wao na ni furaha kubwa sana kwao mtoto kuolewa kuwa bikra aiseee

Na ni ngumu sana kukuta mabikra katika mikoa ya bara yaani watu wa bara wanaona sifa watoto wao kutolewa ubikra mapema sana tofauti na mikoa ta Pwani
Sasa na useme pwani,hivyo vijitu vipakuwepo kwenye umri gani?
 
Huku Pwani kuna bikra nyingi sana yaani kila ukienda kila nyumba kuna uwezekano wa kukuta na wasichana bikra kila kona yaani wazazi wa pwani wanajitahidi sana kulea watoto wao na ni furaha kubwa sana kwao mtoto kuolewa kuwa bikra aiseee

Na ni ngumu sana kukuta mabikra katika mikoa ya bara yaani watu wa bara wanaona sifa watoto wao kutolewa ubikra mapema sana tofauti na mikoa ta Pwani
Pwani ni wapi huko labda tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom