Bikira za Swaziland

Bikira za Swaziland

Ukaridayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
516
Reaction score
478
Idadi ya watu wa Swaziland ni 2 million.
Wanawake ni wengi kuliko Wanaume.

Watu wamekaa na bikira zao toka miaka 12 mpk 18. Na katika watu 10, wawili ni wanaume.

Asilimia 99% ya wakazi wa Swaziland ni wakristo na si kitu cha ajabu kwa mkristo wa Swaziland kukumkuta na wake 4...

Kifupi ile siku ya mfalme Mswati ya kuchagua bikira siyo siku yake peke yake. Ni siku ya wanaume wote wa taifa hilo la kuchagua Vimwana, kwakuwa mfalme ndiyo mwenye status kubwa basi siku ya tukio hilo camera zote hummulika yeye.

Unaweza ukaona ni kwa namna gani kile kipande cha ardhi ndani ya S.A kilivyofunikwa na roho ya Uzinzi na Uasherati.

Siku ile ya tukio inakuwa kama usiku wa machinjio ya vingunguti damu zinamwagika kila kona ya mtaa na kelele za maumivu zinazosikika kwenye madirisha yote ya Swaziland!! Alooo!!

Kelele zinaanzia ikulu mpaka serikali za mtaa.

Hii dhambi kwao imehalalishwa na jambo hilo kwao ni la thamani!!

Swaziland! Swaziland! Swaziland!

mswati4.jpg
Princess_Swaziland_013.jpg
swaz.JPG
 
Atakua alimaanisha kati ya watu kumi, wawili ni me na nane ni ke.
swadakta mkuu, context ya mwanzo nilianza na kuzungumzia idadi ya watu wa kipande hicho ndani ya south, then nikashuka kwa kuonyesha ratio ya jinsi ktk idadi hiyo.... ili uone kwanini kuna mafuriko ya bikra.
 
mtukufu rais wetu naye ataenda kuona live soon
 
Mgosi Shemkunde, umefuata nini huko Swaziland?

Kwahio ukiwa na Switzerlands za kutosha, ni hoteli gani ya nyota 4 yafaa kwa vekesheni hapo Swaziland.

By the way kuna takwimu zimetoka mwaka huu zinatisha sana.

Swaziland-2015.png
 
Mgosi Shemkunde, umefuata nini huko Swaziland?

Kwahio ukiwa na Switzerlands za kutosha, ni hoteli gani ya nyota 4 yafaa kwa vekesheni hapo Swaziland.

By the way kuna takwimu zimetoka mwaka huu zinatisha sana.

Swaziland-2015.png
Tutavaa socks mkuu
 
Huu utamaduni wa hili taifa unashangaza sana
 
Back
Top Bottom