Bikira ni kigezo cha kumpenda mwanamke?

sio kigezo kuna michezo mingine ukicheza bikira inatoka yenyewe

Na hichi ndiyo hua kisingizio nambari one ! Oooh Netball mara usikie shauri ya Baiskeli !
Mara Riadha ! Sijui Rede ! Kombolela mara upuuzi gani ! Unafiki mtupu ! Mizigo inamangwa mapema kabla muda muafak'ka.
 
Bikra maana yake ni nini? Sio IMPRFORATE HYMEN? Mbona mnajidanganya sana. Huyo mwanamke aliye bikra hedhi yake ilikuwa inatokea wapi?

Wacheni ushamba na majungu. BIKRA ya kweli ni mwanamke ambaye hajawahi kuingiliwa. Thats all lakini sio hati kuna membrane ambayo utaivuja ukiwa wewe ndiyo wa kwanza. Kwanza kumbuka kuwa siku hizi hao wanawake inabidi wafanye mijikazi ambayo hata kama an imperforate hymen itaperforate. Pia wengi wanaji ingiza vidole wenyewe kujikimu haja zao.

Kama ukipata dame ambaye hajawahi kuingiliwa inatosha na hii itakuwa kihoja kwa siku hizi. Usije ukamwacha mkeo kwa kisingizio hati hana bikra.

WEWE MWANAMUME NI BIKRA? Mbona chooni kila siku unachelewa luoga. Huwa una fanya nini? TAFAKARI

Doctors ! Mbona ghafla umechenji ? Tangu asubuhi tulikuwa wote wazima hapa Mmu tuna share ma'comment ? Lakini hukuonesha kama una'comment na ka'chupa ka'mvinyo kako pembeni !
Doctors nakuheshimu mno michango yako! Lakini accept kua hapa umeongea kaulevi flani !
Hata hivyo mi nichukulie haya hukuongea wewe ! Ulabu ndiyo umeongea.
 
Binafsi my future wifey nikimkuta bikira nitafurahi sana ..

Inaheshima yake bikira ... Bikira ya ukweli sio ya mchina

Wewe ulishatafuna wangapi?
Jua katika hao ulowatafuna, kuna ambao wanaenda kuwa wake za watu.
Tegemea kupata na wewe aliyetafunwa kwelikweli.
 
Bikira sio inshu sana now..days..kinachotakiwa ni mapenzi ya kweli na uaminifu..
Kizazi hiki cha dot.com bikira utaipata wapi?

UkioNa hukuzipata. Jua wenzako waliifungua mapema.
Bikira zipo. Ni wewe hujazipata sababu unawahiwa.
 
mambo ya bikra yameshakuwa kama hadithi za abunuwas sasa.... watu wanataka wafanye mapenzi na kila anayejitokeza machoni mwao halafu at the same time wanatamani kuoa virgins, how come?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom