mwanzo mzuri wa kutatua tatizo ni kulijua na kulitambua kwamba lipo tatizo! hakuna shortcut hapa, namna ya kuacha ni kujiuliza swali jepesi kwamba, je wewe una dada? Maana ni wazi huna mtoto.... Sasa utajisikiaje ikiwa dada dada yako (au mdogo wako wa kike) ambaye unamuona anaheshima (yani bado innocent) hajawahi kuvunja amri ya 6 (asomaye na afahamu), atapitiwa na mtu mwenye tabia kama yako ya kutoa visoda na kusepa...?
Uashauri wa bure ambao umeuomba hapa ni kwamba OGOPA SANA uharibifu wa binti zetu......, na utubu kwa imani yako uliyorithi wa wazazi wako maana usipofanya hayo, MUNGU atakujaalia wakati ukifika watoto wengi wa kike (hata na pengine wa kiume) na wote watafanyiwa hayo hayo uyafanyayo kwa watoto wa wanaume wenzio na watafanyiwa na watu wazima wenye nyumba zao na wewe utajua kila anapofanyiwa hayo....! Je, utaumia rohoni au........, wache niishie hapo, maana...........................................