Bigger than Adele herself

Bigger than Adele herself

UncleBen , Benny
Haya kama huyu jamaa wa hapa juu mtasema hajaimba kama Adele kisa Adele mkongwe?
Sijakataa kaka hapo Miley kamfunika mkongwe ila mkongwe ni mkongwe tu kuna vitu fulani Miley hawezi kuwa navyo ,unakumbuka wakati wana record ile nyimbo ya we are the world halafu bi mkubwa Dolly Parton anavyocharuka mle dah
 
Off-course kaka.
Hapo tupo sawa kabisa, umeeleweka.
 
Back
Top Bottom