The Weekend ni wa moto sana,
Sema ninachoogopa ni kwamba RnB Music inahitaji uwe very dynamic na creative sana.
Akiwa dynamic itamsaidia kuweza kufit kwenye Collabo na wasanii wa Hip Hop, RnB, Raggae, Rock, Pop and any other form of music.
Kuna wasanii kama Miguel, Young Llyod, Jay Holiday, Bobby Valentino, Boys 2 Men, Omarion, walikuwa wanatisha kuliko hata Weekend lakini wamepotea mbali sana. And if you question why? The answer is that they became predictable and obvious.
Kitanchomfanya mwanamziki awe relevant in this time ni uwezo wa kufanya collabo nyingi na wasanii wa aina tofauti.
Mfano angalia Chris Brown, R Kelly, Neyo, wako relevant kwasababu wanaweza kufit kila sehemu.
Album ya kwanza ya THE WEEKEND kuisikia inaitwa KISS LAND,
ameimba Ballads humo ndani, album nzima ni staili moja.
Sasa kwa kizazi chetu cha entertainment watu hawasikilizi ujuvi wanataka kuruka inakuwa ngumu sana kuuza.
But all in all,
Jamaa ana kipaji balaaa.