Wameongeza gharama za OMG, hata hawafai tena!!! Ukikopa airtime jiandae kulipa bila kutumia hata senti ya pesa uliyokopa, its so frustrating!!! Unanunua OMG bundle ya 2.5GB kwa mfano, ndani ya siku mbili hamna kitu wakati natumia vitu basic ambavyo havihitaji MB nyingi, siangalii video wala nini...! Internet yao inakuwa slow kila kukicha...BS kabisa!!