Maishanimagumu
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 258
- 578
Mkuu wape sifa wanazostahiliHamna kitu pale
Zina speed sanaaaMkuu wape sifa wanazostahili
Umehangaika kuinadi Ally's lakn ndugu yangu nikwambie ni kwamba hayo mabus ni machafu, machafu na wahudumu wa humo ndani ni wachafu kwa mavazi na Lugha.Naweza kusema kwa sasa, route ya Dar-Mwanza Ally's wamedhamiria kuibinafsisha. Hizi sasa ni sifa[emoji119][emoji119].
Sioni kampuni yakuitishia ally's kwa sasa( kwa mbali labda Tanzanite na Happynation)
All in all kongole kwao... Hii ndo maana halisi "kimya kirefu kina mshindo mkuu"
Wachafu....Hamna kitu pale
Hapana, labda bus la simiyuWachafu....
Upo dunia ya ngapi mkuu😂😂Naona unapiga promo ila kwa njia ya dar_mwanza Tungis ndio inaongoza kuanzia kujali muda na huduma nyingine za abiria
Automatic huku kwetu n shida sijui, alikua nazo Dar Lux zimekufa kama kuku mwenye kideriNikimsikiliza mpambe kwenye hiyo video nacheka kimya kimya , kwa kweli watanzania bado hatujuwa kupanda mabasi luxury
Hiyo Basi ni full steel suspension ,manual gearbox ,halafu ndo inapigiwa promo la kutosha
Wanachofeli Ally's ni poor customer care.
Wajaribu kuweka ke labda watafaa.
Siku akipanda tahmeed zile scania ndio atajua hajui.Nikimsikiliza mpambe kwenye hiyo video nacheka kimya kimya , kwa kweli watanzania bado hatujuwa kupanda mabasi luxury
Hiyo Basi ni full steel suspension ,manual gearbox ,halafu ndo inapigiwa promo la kutosha