Big results now

Eng. D

Member
Jul 13, 2011
31
70
Gharama za maisha zinazidi kupanda kila kukicha huku tukisadikishwa kwamba uchumi unapanda pia kwa 7%.

Ndugu zangu watanzania ni muda sasa wa kufanya maamuzi magumu hasa katika matumizi ya kila siku. Leo najikita katika masiliano na hasa kipindi hiki cha sikukuu.

TIGO kwa 595/= unapata sms 450, dk 20 mitandao yote MB 125, 24 HRS:A S cry:

VODA kwa 500/= unapata sms 250, dk 20 voda-voda, 45 sec mitandao yote MB 100:israel:

AIRTEL kwa 499/= unapata sms 300, dk 15 mitandao yote na MB 125:happy:


Use your common sense to get through this Christmas....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom