Big result now kuondoa tatizo la kutojua kusoma na kuandika

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
407
75
Ni miezi michache tu baada ya serikali kuingiza slogan ya Big result now (matokeo makubwa sasa) ktk ofisi zake za umma.
Na sasa wameamua kuingiza ktk upande wa elimu ili kuondoa tatizo la wanafunzi kutojua stadi tatu za kkk (kusoma, kuandika, na kuhesabu) hadi wanapomaliza darasa la saba.
Je unafikiri kupitia hili tunaweza kuondoa tatizo hilo kwa watoto wetu.

Source: BBC
 
Slogan inaondoa matatizo!!!?????

Zishapita ngapi tangu uhuru???!!!!
 
Wakati walimu bado wanawadai serikali madeni yasiyoisha na mishahara kidogo!Nani atafundisha kwa moyo?Ni ndoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…