Si vibaya nikishare na nyie what i have in mind..kiukweli i have big dreams which 5years to come ntahakikisha they become reality...!
1.Kwanza i dream of having a good family..i mean watoto wawili na mume wangu,when i say mume i mean a good responsible one..atakaekua faithful,mwenye upendo na watoto wake na smart na nikisema smart ni mwili pamoja na akili.
2.I dream of being a succesful business woman..kama Oprah.,nisiwe tegemezi kwa mume wangu..na mim niweze kumpamper kama tunavyoona Beyonce akimnunulia Jay z ndege.!
3.Najiona nikiwa na msaada mkubwa katika jamii yangu hasa kwa wale wenye kipato cha chini..kiukweli umasikini ni shida kubwa,no one cares akikuona huna hela..so nikifika uko..i believe ntasaidia wengi
4.I dream of making my mum's life a better..yaani huyu mtu nimemsumbua sana naweza kusema ni utoto..ila Mungu anijalie nifike uko ili aenjoy..
Kwa leo yanatosha..What are your dreams wanajf..