Salaam wakuu.
Leo nimeona niwashirikishe jambo hili ambalo wengi huenda tumewahi kulisikia au mnaweza kuwa mashahid wazuri.
Umewahi kujiuliza Kwa nn Facebook , Instagram , WhatsApp Na baadhi ya mitandao mingine ya kijamii tunatumia bure kabisa ? Hasa nchi zetu za tatu (third world country?).
Wamiliki Wa mitandao hio Wana wafanyakazi maelfu ,Wana mitambo ya gharama kubwa, wanalipa experts wakubwa kuhakikisha mitambo iko salama (secured ,up and running).
Kwa wanao elewa kidogo unaweza ukapata picha uwezo Wa servers za WhatsApp , Facebook,google etc.
Lakin kwa nn hatulipii sisi watumiaji ?
Kwa utafiti nilioifanya ambao sio mgeni kabisa ni kuwa ,haya makampuni makubwa hua yanauza data Kwa makampuni makubwa ya data analysis,research Na makampuni ya kijasusi kama CIA,MI6,mossad etc.
Makampuni yanayonunua taarifa hizo Kwa makampuni ya kiraia husaidia kufanya analysis Na kuwapa miongozo wanasiasa wakubwa hasa wakati Wa uchaguzi.
Ndio maana kuna kampuni nchini uingereza lililotumia taarifa za Facebook users kufanya analysis Na kumpa Trump mambo muhimu yanayopendwa Na raia Wa Marekan.
Trump akawa anaongea mambo ambayo yalikua yanagusa nyoyo za wamarekan,mambo ambayo walikua hawawezi kuyasema wazi lakin walikua wanajadiliana kwenye mitandao (mfano chuki ya wamarekan Kwa mataifa ya kiarabu, chuki dhidi ya wahamiaji etc).
Pia taarifa zinazouzwa Kwa mashirika ya kipelelezi (intelligece agency)husaidia sana mataifa makubwa kujua udhaifu Wa mataifa pinzan.
Mfano Arab uprising iliyo anzia Tunisia ,wamarekan waliweza kujua Kwa uhakika Kua wananchi Wa Tunisia hawana ajira walio wengi ,hivyo wakawa wanapush ads Na matangazo kwenye mitandao ya kijamii yenye kuamsha hisia za wananchi,na hili lilipelekea mwananchi mmoja kujichoma moto Na hisia kali kuzuka.
Ubaya Wa taarifa hizo ni kuwa nchi zenye taarifa hizo huweza kujua Kwa uhakika kabisa kuwa mfano ,watanzania wengi wanakerwa Na flani au wanakerwa Na jambo flani,hivyo hata wakitaka kuwasha moto Wa kisiasa wanakuwa Na uhakika Wa wanayoyafanya.
Fikiria tena , YouTube , Facebook , Instagram , WhatsApp etc Kwa nn tunatumia bure ?
Kama kuna anayejua sababu tofauti Na hizo nitashukuru akinipa some zaidi