BLUE BALAA JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 1,222 Reaction score 786 Jun 26, 2011 #1 Tanesco mlitakiwa kukata umeme tangu saa 12 jioni hapa arusha na hamjakata. Nimewapigia kuwakumbusha lakini mpaka sasa hivi hawajachukua action
Tanesco mlitakiwa kukata umeme tangu saa 12 jioni hapa arusha na hamjakata. Nimewapigia kuwakumbusha lakini mpaka sasa hivi hawajachukua action
Mdau Mkuu JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 235 Reaction score 47 Jun 26, 2011 #2 Haha haha haha mbavu zangu jamani!
chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Jun 27, 2011 #3 Tanesiko wameishiwa sera
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,429 Jun 27, 2011 #4 Hawa sasa tuwaite TENASIKO.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,329 Jun 27, 2011 #5 BLUE BALAA said: Tanesco mlitakiwa kukata umeme tangu saa 12 jioni hapa arusha na hamjakata. Nimewapigia kuwakumbusha lakini mpaka sasa hivi hawajachukua action Click to expand... Siku chache zilizopita walikata kupita kiasi kukawa na manung'uniko mengi mno, hivyo wameamua kuwaachia kidogo ili nanyi mchekelee kuwa na umeme hadi saa hizi.
BLUE BALAA said: Tanesco mlitakiwa kukata umeme tangu saa 12 jioni hapa arusha na hamjakata. Nimewapigia kuwakumbusha lakini mpaka sasa hivi hawajachukua action Click to expand... Siku chache zilizopita walikata kupita kiasi kukawa na manung'uniko mengi mno, hivyo wameamua kuwaachia kidogo ili nanyi mchekelee kuwa na umeme hadi saa hizi.