Big Brother StarGame...

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,118
2,555
Nimegundua kitu kimoja, katika Big Brother inayoendelea sasa hivi huko Africa Kusini, kuna makundi mawili, la kwanza ni kundi lililojaa wasanii na kundi la pili si la wasanii. Kuna utofauti mkubwa sana katika haya makundi mawili. Kundi la wasanii limechangamka zaidi na wanaoneshwa kwa muda mrefu kuliko lile kundi la pili, vilevile kuna umoja fulani hivi, lile la pili naona kila mtu na time yake, umoja wao si wa kuridhisha.

Kundi la wasanii lina waongeaji wengi na wacheshi, kundi la pili sijalisoma kabisaaaaaa!
 
Weka link basi meku.
 
so what? Au ure giving infomation!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…