Msela ameshakuwa kama bwege humwambii kitu kwa huyo manzi. Jamaa yani kuna mda unamuona kabisa anatamani ampige ukuni jinsi anavyomwangalia.Ni hatari. Nawachungulia hapa mida hii. Naona Sheggz amemganda Bella kinoma anakaba mpaka penalty. View attachment 2311182
Ngoja tuone. Ni suala la muda tu. Ila jamaa hapo ashajibebea pisi kali.Msela ameshakuwa kama bwege humwambii kitu kwa huyo manzi. Jamaa yani kuna mda unamuona kabisa anatamani ampige ukuni jinsi anavyomwangalia.
Yeah mmoja kila level.Sure. Naona kuna housemates wawili wapya wameingia jana au?
Yeah hii nayo ni changamoto. Japo mimi napenda kuwaangalia level 2 zaidinimeshindwa kuangalia sehemu mbili kwa wakati mmoja bwana,bora wawachanganye wote
Amaka na shanga zake chibongeAmaka sijawahi mwona ametulia,muda wote ni kujibinua.
Ila kuna bibi anaitwa Diana ana mambo ya kizeee
Huyo manzi simkubali kabisa. Anajiona yeye ndio mwamba kuliko wengine. Amemfanya Ilebaye awe mnyonge sana ndani ya nyumbaPombe sio chai kilicho mkuta Beauty daaaah
Kuna siku chupuchupu nichukue sheria mkononi zile shanga ni hatariAmaka na shanga zake chibonge
Shanga zinawaka waka sijui za gold zileKuna siku chupuchupu nichukue sheria mkononi zile shanga ni hatari
SanaIpo vizuri...
Hajarudi. Ila season hii ni hatari kuna level 2 na hii ni week ya pili hajatoka mtu Biggie kaongeza watu wanne wengineKweli JF Kuna Kila kitu Mimi ni mpenzi wa BBA Naija lakini this season inanipita majukumu yamezidi, nimeikumbuka season iliyopita winner alikuwa white money sijui karudi mjengoni? Kwenye hii reunion