T The Gentleman Pirate JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,481 Reaction score 957 May 22, 2013 #1 kwa fans wa hii reality show,napenda tujuzane housemates wa tz na nchi nyingine,kwa tetesi zilizozagaa gudlyf wata represent uganda,tonto dikeh naija
kwa fans wa hii reality show,napenda tujuzane housemates wa tz na nchi nyingine,kwa tetesi zilizozagaa gudlyf wata represent uganda,tonto dikeh naija
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,250 May 22, 2013 #2 wema sepetu bongo
Swts JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,062 Reaction score 1,299 May 22, 2013 #3 Wapendwa mwenye link ambayo tunaweza tazama online kama anaetazama kwenye Television naomba.
T The Gentleman Pirate JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,481 Reaction score 957 May 22, 2013 Thread starter #4 Swts said: Wapendwa mwenye link ambayo tunaweza tazama online kama anaetazama kwenye Television naomba. Click to expand... kuhusu online sifahamu,ila ka una dstv unaweza cheki channel 198 kuanzia jpili 20:00 eat,,,
Swts said: Wapendwa mwenye link ambayo tunaweza tazama online kama anaetazama kwenye Television naomba. Click to expand... kuhusu online sifahamu,ila ka una dstv unaweza cheki channel 198 kuanzia jpili 20:00 eat,,,
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 May 22, 2013 #5 Lulu na Ray wasanii wetu wa Bongomovies mwaka huu ndo wataelekea mjengoni
T The Gentleman Pirate JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,481 Reaction score 957 May 22, 2013 Thread starter #6 bornagain said: Lulu na Ray wasanii wetu wa Bongomovies mwaka huu ndo wataelekea mjengoni Click to expand... daah ka ni hivyo i pitty tz,,,
bornagain said: Lulu na Ray wasanii wetu wa Bongomovies mwaka huu ndo wataelekea mjengoni Click to expand... daah ka ni hivyo i pitty tz,,,