Ubwabwa wa shuhuli anatosha kabisa huyuView attachment 1774289
Kambale mkubwa mwenye kg 127 na urefu wa futi zaid ya 8
Hapo ana umri gani?View attachment 1774289
Kambale mkubwa mwenye kg 127 na urefu wa futi zaid ya 8
double decker
Wayabomoe tujue huko ndani kuna nini hasa....View attachment 1780103
Amboni Caves (Mapango Ya Amboni) - Ndiyo mapango makubwa ya mawe ya chokaa (limestone) kuliko yote Afrika Mashariki, yanapatikana Tanga, Tanzania.
Yalikuwa formed miaka 150 millions years ago kipindi cha Jurassic Age.
Ndani kuna limestoneWayabomoe tujue huko ndani kuna nini hasa....
Pawe tambarareNdani kuna limestone
😂😂😂😂😂 Aisee haupo serious.Pawe tambarare
Ndio Matt Damon alicheza Ile movie ya Great Wall hapa, ukuta mkubwa balaaView attachment 1780125
Great Wall Of China - Ndiyo ukuta mrefu kuliko yote duniani 8850 km long.
Lengo la kujengwa ni kwa ajili ya defensive purpose na border control over Eurasian Steppe.