Bifu/Uhasama wa Juma Kaseja na Ivo Mapunda;

[h=1]Kaseja: Salamu kwa Mapunda si ishu[/h]
ico_plus.png
SHARE
ico_bookmark.png
BOOKMARK
ico_print.png
PRINTEMAILRATING
​
kaseja+px.jpg
Kipa Yanga,Juma Kaseja.PICHA|MAKTABA By Elius kambili,Mwanaspoti (email the author)

Posted Jumanne,Decemba24 2013 saa 9:9 AM

IN SUMMARY
"Mashabiki wote wanajua mimi na Kaseja ndio wakongwe katika soka la Tanzania kwa sasa, kukataa kusalimiana uwanjani ni mambo ya kizamani na si kitendo cha uanamichezo.
"Mambo gani yasiyoisha? Amekosea sana na sikutegemea kama atafanya vile."

SHARE THIS STORY
​

[COLOR=#04558B !important]0​
​
in
[COLOR=#333333 !important][COLOR=#333333 !important]Share[/COLOR][/COLOR]​

[/COLOR]
KIPA wa Simba, Ivo Mapunda, ameponda kitendo cha mpinzani wake wa Yanga, Juma Kaseja, kukataa kumpa mkono muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi ya Nani Mtani Jembe iliyozikutanisha timu hizo Jumamosi kabla ya Simba kushinda mabao 3-1.

Lakini Kaseja ameibuka na kusema: "Ulikiona hicho kitendo? Mimi naona hiyo siyo ishu kiviile, kuna mambo mengi ya kuzungumza katika soka, naona maneno yamekuwa mengi baada ya mechi."

Tukio hilo lilitokea dakika chache baada ya mgeni rasmi wa mchezo huo, Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe, kuzisalimia timu hizo Uwanja wa Taifa.

Kaseja aliwashika mikono wachezaji wote wa Simba, lakini alipofika wakati wa Ivo, alirudi nyuma kidogo kisha akainama na kumwacha mwenzake akishangaa. Akaendelea na salamu kwa mchezaji mwingine.

Ivo alisema ameshangaa kumuona mwenzake akikataa kusalimiana naye, akisema: "Mashabiki wote wanajua mimi na Kaseja ndio wakongwe katika soka la Tanzania kwa sasa, kukataa kusalimiana uwanjani ni mambo ya kizamani na si kitendo cha uanamichezo.

"Mambo gani yasiyoisha? Amekosea sana na sikutegemea kama atafanya vile."

Ivo na Kaseja wamewahi kucheza pamoja Taifa Stars wakati timu hiyo ikifundishwa na Mbrazili Marcio Maximo na chokochoko baina yao zilianza baada ya mchezo dhidi ya Senegal mwaka 2007 uliomalizika kwa Stars kuchapwa mabao 4-0, Ivo akiwa langoni.

Tatizo Ni dini, nimwgundua makagiri Sana akili,sana

ili nalo kama limendondoka juu ya mnazi..........
kwanini asimkatalie joseph owino,jonas mkude,henry joseph shindika, musoti na amkatalie yeye 2,wanamambo yao tu.

inacheza namba gapi hiyo dini......!?
 
hoja mujarab hii
ili nalo kama limendondoka juu ya mnazi.........kwanini asimkatalie joseph owino,jonas mkude,henry joseph shindika, musoti na amkatalie yeye 2,wanamambo yao tu.

inacheza namba gapi hiyo dini......!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom