Bifu lililokuwa la Rayvanny na Harmonize, limemshusha Rayvanny zaidi, nadhani

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
843
1,363
Kwa upande wangu naona hili bifu limemuathiri zaidi Rayvanny, nimegundua baada ya kwenda you tube na kuangalia video ya keleb ya Rayvanny, nimesoma comments nikafamu Kuna watu wanetoa negative comments wengi Sana

Hali hii haikuwa hapo mwanzoni. Kwani Rayvanny alikuwa na neutral fan base hata wakonde gang wa Diamond walikuwa wake, Sasa nadhani bifu limewagawa mashabiki, na nadhani akitoka WCB Hali itakuwa mbaya zaidi kwasababu hata wale fans wa Diamond wanaomtetea watamhama
 
Nyimbo sio nzuri kwa upande wangu, yaani kama kuna uwezekano nyimbo ambayo alitakiwa kuifanyia video kwenye ile album ya Sound of Africa ni ile ya Mama-ft Saida Karoli ni bonge moja la nyimbo.

Hizo comments ni kawada tu,halafu kuhusu kumshusha kwa kuangalia comments unajidanganya tu, baada ya Diamond msanii anayefanya vizuri kwenye digital platforms zote ni Rayvanny, juzi Nyimbo yake ya Senorita imekuwa streams mara 1m Spotify ndani ya miezi mitatu.
 
Nyimbo sio nzuri kwa upande wangu,yaani kama kuna uwezo nyimbo ambayo alitakiwa kuifanyia video ni ile ya Mama-ft Saida Karoli ni bonge moja la nyimbo.

Hizo comments ni kawada tu,halafu kuhusu kumshusha kwa kuangalia comments unajidanganya tu,baada ya Diamond msanii anayefanya vizuri kwenye digital platforms zote ni Rayvanny,juzi Nyimbo yake ya Senorita imekuwa streams mara 1m Spotify ndani ya miezi mitatu.
Yah ni kweli hii nyimbo c ya kiwango, na nadhani alitaka ibebwe na video, upo sahihi, kuhusu mashabiki ni kweli Kuna kamgawanyiko kametokea baada ya bif
 
Yah ni kweli hii nyimbo c ya kiwango, na nadhani alitaka ibebwe na video, upo sahihi, kuhusu mashabiki ni kweli Kuna kamgawanyiko kametokea baada ya bif
Huo wimbo ni pesa, viewers wake watatoka nchi zenye viewers wenye nguvu eg france belgium. Its business na wimbo pia ni mkali.
 
Huo wimbo wa Rayvanny sio mzuri kwa wabongo wengi, wimbo mzuri huwa unatambaa Tu , wimbo wa harmonize mbali na kupigiwa promo ni wimbo mzuri kwenye maskio ya wabongo , na pia Rayvanny anatakiwa aamshe aamshe asitulie , harmonize amsha amsha inamsaidia .....

Rayvann anakuwa cool Sana ,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom