Hii vita vya lulu na mange naona inamcost san a majizzo, ni ukweli usiopingika kuwa Mange anaishi USA lakini hana maisha kama anayoishi lulu Tz, lulu ni mtoto mdogo sana kwa mange lakini kampiga bao mange kimaisha ndio maana mange anaweweseka kutwa na majizzo, anajua anampa jeuri lulu, naona anajaribu kufanya kila mbinu akishirikiana na wabaya wa lulu na majizo kumpoteza kabisa majizo jambo ambalo amefanikiwa kwa asilimia 10%, lulu unaambiwa sasa hivi hana raha kutwa full stress,alijisemea lemutuz mange ana spirit ya Jezebel, ana nguvu kubwa sana ya ziada,nguvu ya maangamizi,nguvu ya kuteka akili za watu,nguvu za giza naweza kusema. Lulu ujiandae mapema,maana majizo akitoka polisi hawezi tena kuwa na lulu,hata akitoka leo,usiulize kwa nini, huu umbea wa familia,ubuyu exclusive [emoji2][emoji23][emoji23]
Lulu sawa tu na juxAna Gundu Lulu, kama mwanaume anaekua nae hajafa basi anakumbwa na majanga kama hivyo majizo, kuna madem ni mapepo
Hii vita vya lulu na mange naona inamcost san a majizzo, ni ukweli usiopingika kuwa Mange anaishi USA lakini hana maisha kama anayoishi lulu Tz, lulu ni mtoto mdogo sana kwa mange lakini kampiga bao mange kimaisha ndio maana mange anaweweseka kutwa na majizzo, anajua anampa jeuri lulu, naona anajaribu kufanya kila mbinu akishirikiana na wabaya wa lulu na majizo kumpoteza kabisa majizo jambo ambalo amefanikiwa kwa asilimia 10%, lulu unaambiwa sasa hivi hana raha kutwa full stress,alijisemea lemutuz mange ana spirit ya Jezebel, ana nguvu kubwa sana ya ziada,nguvu ya maangamizi,nguvu ya kuteka akili za watu,nguvu za giza naweza kusema. Lulu ujiandae mapema,maana majizo akitoka polisi hawezi tena kuwa na lulu,hata akitoka leo,usiulize kwa nini, huu umbea wa familia,ubuyu exclusive [emoji2][emoji23][emoji23]
Ivi kwanini kila Mwanaume anaetoka na Lulu Lazima akutane na majanga??Hii vita vya lulu na mange naona inamcost san a majizzo, ni ukweli usiopingika kuwa Mange anaishi USA lakini hana maisha kama anayoishi lulu Tz, lulu ni mtoto mdogo sana kwa mange lakini kampiga bao mange kimaisha ndio maana mange anaweweseka kutwa na majizzo, anajua anampa jeuri lulu, naona anajaribu kufanya kila mbinu akishirikiana na wabaya wa lulu na majizo kumpoteza kabisa majizo jambo ambalo amefanikiwa kwa asilimia 10%, lulu unaambiwa sasa hivi hana raha kutwa full stress,alijisemea lemutuz mange ana spirit ya Jezebel, ana nguvu kubwa sana ya ziada,nguvu ya maangamizi,nguvu ya kuteka akili za watu,nguvu za giza naweza kusema. Lulu ujiandae mapema,maana majizo akitoka polisi hawezi tena kuwa na lulu,hata akitoka leo,usiulize kwa nini, huu umbea wa familia,ubuyu exclusive [emoji2][emoji23][emoji23]
Ngoja lulu akusikieLulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza...
Kanumba alivuta.
Kapteni mbunge wetu naye akavuta.
Majizo naye ataozea selo...
Lulu ana nini Lulu??
Sasa mngejuaje kaopoa "bilionea???"Lulu anakosea jambo 1 tu,angeyaweka mapenzi yake sirini kama ilivyokuwa kwa marehemu Kanumba.
Kujishaua mashauzi kibao tena mtu mwenyewe ndio huyo vyanzo vya fedha mashaka matupu ni risk.
Mapenzi ya wazi atuachie anonymous
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na juzi kamtaja Manji kesho yake Makonda karuka naye.Yaan mange anainfluence na mambo mengi ya hapa bongo utadhan yupo hapa bongo vile. Kumbuka kilichomkuta dr. Mwaka
Angesubiri aolewe kwanza ndio atambe,hata hivyo Majizzo akimuacha atakuwa hakumpenda kweli.Sasa mngejuaje kaopoa "bilionea???"