Bidhaa za umeme wa jua

Wachaka

Senior Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
107
Reaction score
23
Habari wanajamvi,
Kwa mahitaji ya bidhaa za solar power wasiliana nami tufanye biashara, tunauza kwa jumla na rejareja, bidhaa tulizonazo ni pamoja na, solar battery, solar fan, solar wire, tape (gundi) pannels, solar bulb&tube light, inverter, charge controller, nk.

Karibuni.
 
Bado hujaeleweka, umetumia theory ya nursery kutangaza biashara yako.
uliza sehemu ambayo hujailewa.. anyway,nauza bidhaa zinazohusiana na umeme wa jua(solar power)nauza kwa jumla na rejareja.
 
Nahitaji.

1.Solar pannel ya watts 120
2.Inverter ya watts 600
3.Solar battery ya N100.
4.Solar bulb 5.

Nipe price na gharama ya wire na installation.
 
Nahitaji.

1.Solar pannel ya watts 120
2.Inverter ya watts 600
3.Solar battery ya N100.
4.Solar bulb 5.

Nipe price na gharama ya wire na installation.
sawa,unahitaji waya uref gani??
 
Nahitaji taa za solar. Tuma picha aina za taa ulizonazo nichague
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…