Naitwa Derick Mtimba ni afisa mauzo wa Shacman Tanzania. Ninayo furaha kuwajulisha kuwa kampuni yetu inatoa aina mbalimbali za magari ya mizigo na ujenzi, yakiwemo:
Tractor Head
Tipper za ujazo tofauti
Water Tanker
Crane Truck
Oil Tanker
Mining Truck
Refrigerator Truck
Cement Mixer
Spare parts
Magari yetu yanajulikana kwa uimara na teknolojia ya kisasa, ambayo inasaidia kuongeza ufanisi katika kazi zako. Ikiwa unatafuta magari mazuri na yanayokidhi mahitaji yako ya biashara, tafadhali usisite kuwasiliana nami. Nitafurahi kutoa maelezo zaidi na kujibu maswali yako.
Asante kwa muda wako, na tunatarajia kushirikiana nawe!
Derick Mtimba
Afisa Mauzo, Shacman Tanzania
Simu: +255714907814