Bidhaa ya maziwa imeadimika kwenye soko DSM

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,636
2,725
Jamani kunani?
Bidhaa za maziwa ya Azam na Tanga fresh yzimeadimika sana kwenye jiji la DSM.
Anayejua sababu atujuze...
 
Wengine maziwa hatuyakumbuki mpaka mtu anywe sumu

hata dr aseme kazi bure
 
Hali ya joto kukithiri ukanda wa pwani ndo chanzo cha kuathiri uzalishaji wa maziwa kutoka makampuni hayo
Wale wa Mbeya na Mara wanapata maziwa kwa wingi tu
 
wanaume wamegundua kuwa kipindi hiki cha baridi maziwa ni muhimu sana kutembea nayo mfukoni kwa ajili kutumia hasa pale wanapofumaniwa si unajua mke wa mtu ni sumu
 
Back
Top Bottom