Duh litakua zito hiliNa hii kufuli View attachment 719290
Linawaka kwakutumia nn sasa?Ni jiko ndy nimelipiga picha tofauti tofauti
Hilo kufuli linavunja milango yetu ya siku hzDuh litakua zito hili
Hahahah....hiyo ni copper tu, labda aje kuuza scraper, bei nzuri sana.Hivyo vitu havina lolote, labda upate chupi ya shaba ilivaliwa na babu yake Kinjekitile Ngwale
Chanzo cha huo moto ni nn mkuu, gas, petrol, mafuta ya taa au?Uki pitisha kitu chochote cha madini chuma kama vile uwashavyo kiberiti basi linawaka moto
Kwa kweli linataka mamilango yenye uimara wakeHilo kufuli linavunja milango yetu ya siku hz
Jiko linatumia mafuta au kuni?Na hii kufuli View attachment 719290