Kama ni jiko halisi la kijerumani halitumii chochote. Kuna pasi pia haitumii umeme, mkaa wala gesi, lakini kuwa makini...Jiko linatumia mafuta au kuni?
Linatumia mkaa au ges...?Nilikuwa niko bush mmoja hivi nikabahatika kukutana na vitu hivyo kwa mzee mmoja ambaye alikuwa mwenyeji wangu akaanipa story yake mwenyewe anasema ni mmoja ya bidhaa walizo ziacha wajerumani ni jiko na kufuli ila kilicho nivutia ni jiko halihitaji kuwa na kiberiti ukigusisha msumari linawaka View attachment 719280View attachment 719281View attachment 719283View attachment 719285
Mnaweza kula pesa ukoo wenu wote msimalize huyo babu kakalia pesa mbaya zaidi ukiiba hupati kitu. Wazungu walificha sana vimebaki kwa wachache.Na hii kufuli View attachment 719290
😛Yasije yakawa mabomu Mkuu😛Nilikuwa niko bush mmoja hivi nikabahatika kukutana na vitu hivyo kwa mzee mmoja ambaye alikuwa mwenyeji wangu akaanipa story yake mwenyewe anasema ni mmoja ya bidhaa walizo ziacha wajerumani ni jiko na kufuli ila kilicho nivutia ni jiko halihitaji kuwa na kiberiti ukigusisha msumari linawaka View attachment 719280View attachment 719281View attachment 719283View attachment 719285