Bidhaa walizo ziacha Wajerumani

Bidhaa walizo ziacha Wajerumani

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
605
Reaction score
219
Nilikuwa niko bush mmoja hivi nikabahatika kukutana na vitu hivyo kwa mzee mmoja ambaye alikuwa mwenyeji wangu akaanipa story yake mwenyewe anasema ni mmoja ya bidhaa walizo ziacha wajerumani ni jiko na kufuli ila kilicho nivutia ni jiko halihitaji kuwa na kiberiti ukigusisha msumari linawaka
IMG-20180319-WA0006.jpg
IMG-20180319-WA0002.jpg
IMG-20180319-WA0005.jpg
IMG-20180319-WA0001.jpg
 
Kuna thread humu walizungumzia rupia za mjerumani pamoja na hizo pasi.

NB: zinathamani kama ukibahatika kuuza. Though hamna garantii ya mnunuzi wa kweli.
 
hakuna kitu hapo .chuma chakavu hicho.wewe nenda kapige kazi.vyuma vinaendelea kubana
 
Back
Top Bottom