Bidhaa kutoka INDIA

@Sassy
Vp mkuu nahitaji kusafirisha mzigo wa Kanzu kutoka India unaweza kunisaidia kampuni za usafirishaji ili iwe rahic?
 
@Sassy
Vp mkuu nahitaji kusafirisha mzigo wa Kanzu kutoka India unaweza kunisaidia kampuni za usafirishaji ili iwe rahic?
Ndy naona leo Uzi wako mkuu nilikua busy sana vipi ulifanikiwa kama bado karibu tufanye biashara
 
Bado unafanya hii biashara?
 
Hiyo namba haipo mbona weka mawasiliano ya uhakika
 
Janja janja huyo nilishafanya nae biashara akanitapeli. Bahati nzuri bidhaa nilifanikiwa kuagiza mwenyewe toka huko India mpaka kuja tanzania
 
KEMCHO BAYYI Injini ya bajaj ipo rafiki taka sana hii mimi
NA bei takuwa kiasi gani? Rafiki..... For one engine with single or 2 stroke subiri jibu yako kwa hamu kubwa
Sante sana rafiki
OM OM.
Baniani baya atu yake dawa, sipo ziba ufa mwizi kuja chungulia ndani ya nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…