Katika watu naowapenda JF sanasana MMU ni wewe thread zako zinavutia na hazitii uvivu kusoma raha kweli unasoma kidogo tu ushaelewa sante sana mtoto mzuri eeehhh me love you......
Umenena vyema kabisa kitu penzi hauwezi kupata thamani yake zaidi ya moyoni mwa mtu........... hata juzi niliwaambia nnunu na wenzie kina maty, WL, nk kuwa mie mambo ya zawadi simindi kivile ilimradi moyo wake kauelekeza kwangu hata kama ananichuna mie poa tu ha haha ha ha asubuhi njema bana