Biden atashinda, Trump is done

Florida ni jimbo dogo?

Ni jimbo gani lililoamua uchaguzi wa 2000?
Nimesema kama... si kuorodhesha yote, California na Texas haya majimbo mawili tu yanakupa 93 points, Florida na Newyork hawa wana 29 hata ukishinda wote hawa unahitaji kwenda kwa hawa wadogo kupata 119. Ndio maana mara nyingi hizi states ndogo wanaamua siku ya mwisho. Sijasema sehemu Florida ni state ndogo ila swing state ule mwaka 2000 issue ilikuwa kubwa sababu waliamua kura zihesabiwe tena baada ya Mahakama kuamua japo kuwa ni swing state lakini mara nyingi zinazo onekana state ndogo ndio wanakuwa kama waamuzi.
 
Nadhani hukuielewa sarcasm yangu.

Ni kwamba, CNN wamepoteza kabisa credibility yao ndo maana nikashangaa ulivyosema CNN.

Na hata kama Trump kaongea nao, itakuwa ni kupata tu taarifa za kinachoendelea jimboni na si kutaka ku influence chochote maana, kama nilivyokuambia, magavana na mameya, hawahusiki na uhesabuji wa kura.

Naamini hata Joe Biden atakuwa kaongea na mameya wa Phoenix na Atlanta, ambao ni supporters wake.

Tena meya wa Atlanta alikuwa kwenye shortlist ya VP choices wa Biden, na naamini anaweza hata kuwepo kwenye cabinet yake.
 
Uko Georgia wewe. Subiri baba ako Trump ashindwe ushike adabu yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mshamba wewe
Thibitisha nipo Georgia.

Mshamba mamako.

Biden na Trump hawaathiri maisha yangu kwa namna yoyote ile.

Sasa sijui unachokibwabwaja hapa ni nini!
 
CNN wamepoteza credibility kwa mujibu wa nani?
 
Hata ukishinda CF, Texas, NY na Florida jumla ni 151 tu hawakupi ushindi ni lazima ukatafute hawa wadogo wenye 11 sijui 6 ni lazima fanya hiyo 151 ongeza hesabu lazima zitimie 270. Mfumo uliwekwa makusudi kuwapa sauti hata wadogo ndio maana utakuta wanaenda sana kupiga kampeni katika state wanazoita swing state. CF na NY miaka yote ni blue wanajulikana hawabadiliki. Nachotaka kusema angepata hiyo 151 ongeza na 20 ya Illinos 20 bado lazima utafute 99 hizo 99 ndio unazitafuta huko Nevada sijui Maine nakuendelea.. ikitokea siku Republican wakapindua CF kuwa Red basi wanashinda asubuhi hio wanaita ushindi wa kishindo ila huwa haitokei sana.
 
CA na NY si miaka yote wako hivyo [yaani blue states].
 
CA na NY si miaka yote wako hivyo [yaani blue states].
Miaka yote ni Blue ndio nimesema siku jamaa wakigeuza CA au NY kwenda Red inakuwa uhakika ushindi tena wa kishindo, siku zote hivi vi state wenye 10 sijui 11 ndio wataamua nani mshindi mara nyingi ni swing states.
 
Miaka yote ni Blue ndio nimesema siku jamaa wakigeuza CA au NY kwenda Red inakuwa uhakika ushindi tena wa kishindo, siku zote hivi vi state wenye 10 sijui 11 ndio wataamua nani mshindi mara nyingi ni swing states.
CA na NY siyo miaka yote ni blue.

Au labda nikuulize, umeanza kuzifuatilia lini chaguzi za Marekani?

Manake mimi nakumbuka kuna landslides za watu kushinda majimbo 40, 44, na 49 kati ya 50!

Na baadhi ya majimbo waliyoshinda ni CA na NY.
 
Thibitisha nipo Georgia.

Mshamba mamako.

Biden na Trump hawaathiri maisha yangu kwa namna yoyote ile.

Sasa sijui unachokibwabwaja hapa ni nini!
Trump na Biden hawaathiri maisha yako?

Subiri uwe deported ndo utaelewa athari waliyonayo ktk maisha yako[emoji16]
 
Trump na Biden hawaathiri maisha yako?

Subiri uwe deported ndo utaelewa athari waliyonayo ktk maisha yako[emoji16]
Facts.

1. Trump na Biden hawana athari yoyote ile katika maisha yangu.

2. Hujui nilipo. Hivyo habari za deportation ni njozi zako tu.

3. Read and weep.
 
Naona wanaringa ringa kukamilisha kutoa matokeo. Nimechoka kusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…